huyu bhanaHahahahaha jamaa anakuudhi ee
Tu tatu anajazahivi ana weza jaza ki mwendo kasi kimoja et?
eeeh kakaHapa msaada utapata mzee
Mwenzang ila c unajua
Wakat wa magu huu
Mkono lazma uwe mrefu
Enz,za jk zliisha
[Color= yellow]Triple A[/color]
Gea ebu nitajie hata wawili hawafikihivi ana weza jaza ki mwendo kasi kimoja et?
Tu tatu anajaza
Halaf beby sikia Ngabu ni mhenga ujue ni babu ati we mchukulie poa
Hawa ninadawa yaoSasa mtaondoka hv hv
Bla kutuachia bia cret 1
Vile makoromeo yanekauka
Cc daby
[Color= yellow]Triple A[/color]
eeehPole jamaan Gea kwa nini lakini ice kakufanyia hivyo angemsifia kimya kimya tu
eeeh kaka
ila zama hizi mzee anatunyoosha sema raha yake ni kuwa ukijiongeza kidog tu u aonekana wa maana.
Kasi ya huu Uzi ni kali sana, unahitaji wenye mapafu ya chita, wahenga hatuuwezi kabisa.
Ngoja nije PM.
Nitaanika kila kitu😀.
Mwenzio jana alishakubali kubadili hadi jina lake aitwa Gea Ngabu.
jaman rate yangu ya mapigo ya moyo inazid kuongezekaNgabu ni mhenga ana miaka 90 ,usione wivu ule ulikua utani
Yan wanatuchukulia poahHawa ninadawa yao
okay thank uuNipo lovie nimekujibu