Wenzetu wakulima nnTangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.
Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.
Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?
Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.
nmefikaKkoo, aggrey na likoma
Hizi mvua inabidi tuzitumie vizuri kwa kilimoWenzetu wakulima nn
Hebu nijaribu ila nitaambiwa nala mademu za watuPindua meza mkuu
Mpatie anachotakanmefika
Hongeren bwana sie tunapigika uzuri leo sikukuuHizi mvua inabidi tuzitumie vizuri kwa kilimo
Nini kinakutesa mremboHongeren bwana sie tunapigika uzuri leo sikukuu
Upweke hamna kingineNini kinakutesa mrembo
Muhimu uzima tu, haya mengine huwa ni mbwembwe tuHongeren bwana sie tunapigika uzuri leo sikukuu
nasubir aombe sasaMpatie anachotaka
Tatizo ni umbali tuUpweke hamna kingine
May we be together and accompany each other?Upweke hamna kingine
nasubir aombe sasa
Mmmh we kuwezaMay we be together and accompany each other?
Ebu inama kama unaokota helanasubir aombe sasa
Bila wanawake, dunia ingekuwa ni sehemu mbaya ya kuishiNi udhaifu kutegemea uwepo wa mtu kwenye maisha ndio unenepe
Sidanganyiki ng'oooEbu inama kama unaokota hela
Kuna muda utafika, utaileta mwenyewe tuSidanganyiki ng'ooo