Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,524
mkuu achana na wanawake, em tuendelee, vipi tufungue kampuni au viwanda vya uzalishaji nini?.Tangu nilivyoanza kumpenda huyu mlimbwende wangu, ndani ya siku saba amenawili, anatabasamu zuri, ananukia vizuri, muda wote amekuwa na furaha anionapo mimi.
Leo marafiki zake wakaribu wakamuuliza, mbona mwenzetu unanawili tu na unapendeza? Akashindwa kuwajibu.
Sasa mida hii ndio tunapiga stori, ndio ananisimulia yaliyojiri huko mtaa wa pili; nami nikwamabia, kweli unapendeza na unavutia.
Akasema tangu nimekuwa na wewe sina mawazo tena, kwa nini nisipendeze?
Hapa nilipo, nimemkumbatia yuko kifuani kwangu; ukichangia na hii mvua inayonyesha! dah wananzengo msinionee wivu; pambaneni kutafuta wa kwenu.
Anakuwa yukoje?Hua nliskia neno mlimbwende kuna mwanamke hua namuumbaga kichwani
Tuwekeze kwenye uchimbaji wa mafuta tuwauzie Marekani na Ulaya; tupate fedha za kigenimkuu achana na wanawake, em tuendelee, vipi tufungue kampuni au viwanda vya uzalishaji nini?.
Mamaaa Moja hv photogenicAnakuwa yukoje?
Mkuu sasa ishafanyika research kuwa yapo mengi huku tz?, na pia nasikia kuchimba mpk wale wehu ngozi nyeupe watupe go ahead bila hivyo hakuna tutakachofanya, tupeane mawazo mkuu.Tuwekeze kwenye uchimbaji wa mafuta tuwauzie Marekani na Ulaya; tupate fedha za kigeni
Nabariki uamuzi huu Kwa Jina JF na Wana JF na WanaCC wote tusemee hakikaa 🤣🤣Tunapendana na Lucas! Nishabadili kabila mimi ni mnyiha kuanzia leonabar
Ngozi inakuwa bling bling 😂Sio kunenepa tu na utang'aaa pia
Hakika!!😂🤸Nabariki uamuzi huu Kwa Jina JF na Wana JF na WanaCC wote tusemee hakikaa 🤣🤣
Ohoo!. Shauri zako.Tunapendana na Lucas! Nishabadili kabila mimi ni mnyiha kuanzia leo
🤣🤣🤣🤣 Wewe tenaHakika!!😂🤸
ww mwenyw unaweza usione huo mng'ao, Ubaya wa mahusiano ukiwa nae ww Kuna mambo mengi mazuri ww huyaoni kwake lkn wengine wanayaona, ukishakua na access na mwanamke kuna namna....Ngozi inakuwa bling bling 😂
Upendwe mara ngapiHata mim mlimbwende nataka nipendwe kam uyo wako,,nipe ndugu ako bas ninenepe man nmekaa kam mshale😫😫
Unanipa maneno!? Nampelekea🏃Ohoo!. Shauri zako.
Na wewe unataka kupambwa vya uongo uongo kama mama?
Kila la kheri.
Huwa ipo hivyo Sana...basi ndo maana tunaombeana kuwa "vyuma chakavu" ukitokea mmwagano 😂ww mwenyw unaweza usione huo mng'ao, Ubaya wa mahusiano ukiwa nae ww Kuna mambo mengi mazuri ww huyaoni kwake lkn wengine wanayaona, ukishakua na access na mwanamke kuna namna....
Watu na couple zenuHongera kwa Lucas Mwashambwa nina kg zangu 79 Mungu anipe nini mie🤸
Lazima ninenepe huku lucas huku Yanga😂Watu na couple zenu
Nenepa 🦁 aje akutafuneLazima ninenepe huku lucas huku Yanga😂