Kweli mapenzi yananenepesha

Mr mapenzi manake concepts zako ni mapenzi tu. Sometimes think beyond the box
Tufanyeje ili tuweze kuchimba mafuta yetu katika ufukwe wa pwani, ili tuweze kuwauzia nchi za Ulaya na Marekani ili tupate fedha za kigeni, pamoja na kuimarisha shilingi yetu vs US dollar?
 
Picha tafadhali ulivyomkumbatia baby wako!
 
Nawili = Nawiri
 
yaani mapenzi ni kama aliyebebwa na kurushwa juuuuuuuu kama mtoto,

huwa unapata raha sana ukiwa katika hiyo hali, ila omba sana Mungu huyo anayekurusha akudake asikuache uanguke.

sababu kadri unavyozidi kupata raha kwenye mapenzi ndivyo utakavyoumia sana mkiachana

Mola anitunzie mamsapu wangu😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…