Nimepita mahali tofauti tofauti na kukutana na malalamiko ya abiria wa shirika letu pendwa kwamba hamkurusha ndege kwenda destination mliyozindua juzi tena bila maelezo yoyote.Nachelea kutoa conclusion ngoja tusubiri maelezo yenu
Mimi nimiongoni mwa wanao amini shirika litasimama..Ndege zisipokuwepo ni tabu zikiwepo zikiwepo bado ni tabu kwa baadhi ya watu..Waongeze safari Bukoba to Dar