Yaani daimond kawapa wanawake 3 mimba ambao ni mastaa wa east africa nikidume eti.
Kwa manaa ukishampa mwanamke mimba hana ujanja tena nyie nimaisha yenu yote mutakuwa kith kimoja kisa mtoto au watoto.
Hii nikali sana.
Sasa leo nashangaa jambo kamfanyia mudada happybirthday na kana mimba hakaja olewa zari hakuolewa hamisa hakuolewa hamisa kachukua nafasi ya wema angemzalia dah .
Naukishamzalia kwisha anakuacha anaenda kwa mupya yeye ni mimba tu sijui why.