Ukweli na Uwazi
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 122
- 54
Ipo siku watanzania watawajua vema tu kwani pole pole ndiyo mwendo.UKAWA mna matatizo nyie basi tu watanzania hawajawafahamu. Kujadili Mahakama ya Kadhi kuna tatizo gani, issu hapa ni nguvu ya hoja kila kitu kitakaa sawa.
Hayo ndiyo mambo ya msingi ya kujadili na siyo serikali tatu wewe, ondoa uharo wako, nchi kutokuwa na dini siyo sababu ya kutojadiliwa, watu wana dini zao.
Baraza LA IDD mwaka 2011 Dodoma. Rais alilielezea. Hili swala LA mahakama ya kadhi. Sasa sijui mnatafuta nn