Nmeacha hyo kitu mwaka wa pili huu,sasa pakuchovya kupo,chaputa yanin...au ndo unafuta sifuri unaandika zeroUko CHAWAPUTA MKUU?
Hilo nalo neno,ingawa hali apply kwangu,chambi ipo kdogoUkiwa na chambi chambi mbona utajibu
So umeamuwa kukaza tu mwenyewe unajifanya kuwa mgumu kama mimi
NAFSI INAKUSUTA KWA UTAPELI WAKO WA MAPENZI, HILO NENO SI MCHEZO HASA KULITAMKA KISWAHILI HALAFU HAJAMAANISHAToka jana nmekua napata msg za valentino kutoka kwa mabint nao share nao dhambi hii ya uzinifu
Sasa nakua mgumu saaana kujib hiz msg,kias kwamba had nmejigundua kua nahis simpend hata m1 wao kiukwel,
Kutaman wanatamanisha kwelkwel,lakin y nashindwa.yaan inakua ngum sana kuwajib hata,"happy valentines babe"
Yaan ni ngum kwelkwel.
Maishan ni wasichana wa 2 tu ndio ambao nmewai watamkia tena mara nying nying kuwa nawapenda..
Na walikua madem wakawaida saaana,yaan hawawaingii hawa wa sasa hiv hata kdogo,ila nilikua nawapenda vbaya mno
Nmeamin uzur wa umbo au sura wa mwanamke si kigezo cha kupenda,.
Kwel kupenda na kutaman ni vtu viwil tafauti
Uzi tayar
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi hiyo avatar yako nimeikubali sana kwasababu hiyo mchizi eddy griffin namuelewa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha,nna stand up comedy zake zote huyu jamaa,zaid ya kumi,..mi nimfatiliaj wa stand up saaana,kuanzia kina richard prayer emz hzo,eddy murphy,chris rock,bill cosby,underground kama kelvin hurt na wakal wengne ila huyu jamaa namvulia kofia ni hatari sana,ingawa shots zake zingne alichkua sana kwa richard prayer sabab ndo alimlea,huyu ndo namba 1 wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nilimsahau huyooo,dah,huyo nae ni hatariiiii,sasa hao ndo wakal wangu includin dave ,..steve harvey,na ki katt williams ingawa sio sana...mwingne yule mzee wa ki mexico nan yule nimemsahau,juz kat walikua na tour yeye griffin na wengne wawil,ilikua ni balaaAsee anajua sana kama ile show yake ya tell em I said it ni fire. Vp kuhusu Dave chapele
Sent using Jamii Forums mobile app