Kwel nmeamini mim ni mgumu sana kusema ai lavi yuu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
7,725
2,000
Toka jana nmekua napata msg za valentino kutoka kwa mabint nao share nao dhambi hii ya uzinifu

Sasa nakua mgumu saaana kujib hiz msg,kias kwamba had nmejigundua kua nahis simpend hata m1 wao kiukwel,

Kutaman wanatamanisha kwelkwel,lakin y nashindwa.yaan inakua ngum sana kuwajib hata,"happy valentines babe"
Yaan ni ngum kwelkwel.

Maishan ni wasichana wa 2 tu ndio ambao nmewai watamkia tena mara nying nying kuwa nawapenda..

Na walikua madem wakawaida saaana,yaan hawawaingii hawa wa sasa hiv hata kdogo,ila nilikua nawapenda vbaya mno

Nmeamin uzur wa umbo au sura wa mwanamke si kigezo cha kupenda,.

Kwel kupenda na kutaman ni vtu viwil tafauti

Uzi tayar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
9,766

NAFSI INAKUSUTA KWA UTAPELI WAKO WA MAPENZI, HILO NENO SI MCHEZO HASA KULITAMKA KISWAHILI HALAFU HAJAMAANISHA
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
7,725
2,000
Haha,nna stand up comedy zake zote huyu jamaa,zaid ya kumi,..mi nimfatiliaj wa stand up saaana,kuanzia kina richard prayer emz hzo,eddy murphy,chris rock,bill cosby,underground kama kelvin hurt na wakal wengne ila huyu jamaa namvulia kofia ni hatari sana,ingawa shots zake zingne alichkua sana kwa richard prayer sabab ndo alimlea,huyu ndo namba 1 wangu
Mi hiyo avatar yako nimeikubali sana kwasababu hiyo mchizi eddy griffin namuelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E and E

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
867
1,000
Kusema neno nakupenda bila kumainisha ni sawa na kujifunika kichwa huku ukiamini umejificha hakuna anayekuona.
 
mark girland

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,028
2,000
Asee anajua sana kama ile show yake ya tell em I said it ni fire. Vp kuhusu Dave chapele
Haha,nna stand up comedy zake zote huyu jamaa,zaid ya kumi,..mi nimfatiliaj wa stand up saaana,kuanzia kina richard prayer emz hzo,eddy murphy,chris rock,bill cosby,underground kama kelvin hurt na wakal wengne ila huyu jamaa namvulia kofia ni hatari sana,ingawa shots zake zingne alichkua sana kwa richard prayer sabab ndo alimlea,huyu ndo namba 1 wangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
7,725
2,000
Dah nilimsahau huyooo,dah,huyo nae ni hatariiiii,sasa hao ndo wakal wangu includin dave ,..steve harvey,na ki katt williams ingawa sio sana...mwingne yule mzee wa ki mexico nan yule nimemsahau,juz kat walikua na tour yeye griffin na wengne wawil,ilikua ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
7,725
2,000
Asee anajua sana kama ile show yake ya tell em I said it ni fire. Vp kuhusu Dave chapele

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nilimsahau huyooo,dah,huyo nae ni hatariiiii,sasa hao ndo wakal wangu includin dave ,..steve harvey,na ki katt williams ingawa sio sana...mwingne yule mzee wa ki mexico nan yule nimemsahau,juz kat walikua na tour yeye griffin na wengne wawil,ilikua ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,957
2,000
.
IMG_20190215_003340.JPG
 
Nas Jr

JF-Expert Member
May 15, 2018
3,969
2,000
Mkuu Uongo uliuzidisha sasa umejikuta upo Nje ya Ukweli

Ile sauti uisikiayo ndani na moyo wako ndio inaitwa UKWELI.

so ukweli ni huo kuwa huwapendi, unawabania tu wana riziki zao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom