martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,464
"Kuruka ruka kwa maharagwe ndo kuiva kwake,"Kweli wananchi mmewakamata makolo, big up timu pendwa. Kwa sasa huwezi anzisha thread ya mwaka michezo nje ya Yanga ukapata wasomaji na wachangiaji. Sasa ona mambumbumbu FC yanavyojidhalilisha. Keep it up wananchi,
Pitso Mosimane
Makolo kina nan!?Kweli wananchi mmewakamata makolo, big up timu pendwa. Kwa sasa huwezi anzisha thread ya mwaka michezo nje ya Yanga ukapata wasomaji na wachangiaji. Sasa ona mambumbumbu FC yanavyojidhalilisha. Keep it up wananchi,
Pitso Mosimane
Ukinipa sabab kwa kina chura fc mlikuwa mnaenda kuwapokea wapinzani wa simba kimataifa airport na me ntakujibKwanini unataka waondolewe, na wakiondolewa wewe utafaidika na Nini? Yaani mpira was kibongo hautakaa uendelee kwa huu ujinga,
Unachoongea unakijua!!??Al Hilal na Yanga kwenye mzani wa vikombe vya Caf wako sawasawa Kwa maana wote Hawana kikombe chochote Cha Caf na icho ndio kiashiria Cha ukubwa.
Swala la kufika Robo kufika fainali halina uhusiano wowote na kutwaa kikombe Cha Caf.
Yanga ilisha wahi kucheza robo ya Caf champion league mfululizo 1969, 1970 historia hio aina maana yoyote inabaki ni stori tu.
Kilichopo Sasa Yanga wapo vizuri kuliko Al hilal na tunakwenda kumpasua Nyumbani na Ugenini Ilo Swala Halina mjadala.
Mtake mistake mpende msipende, Hilal ana kwenda kupigwa kama Ngoma.
Aaagh!! Sasa mnyama huwez mfananisha na uto* ni two quality differentsMashabiki wenzangu wa msimbazi wakati mwingine mnatudharirisha, sisi tunamfunga al ahly tulikhwa na rekodi gani bora kuliko wao, kikosi chetu kilikuwa cha thamani gani, si ndio walikuwa wametoka kumsajili ramadan sobhi, kiasi utopolo wakawa wanatuimba tutatokea wapi.. Kipi kilijiri?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], we jamaa acha kunifurahisha, umeiomba caf simba ishiriki, ahahhahahahaKumbe uliyetoa post ni kolo [emoji83] wizard?
Al hilal wangekuwa wazuri wasingepewa peneti ya kuunga Unga dhidi ya st.george
[emoji3504] YANGA hii imemfukuza kazi kocha Pablo+ Babu Zoran
[emoji3504] Zamu ya IBENGE kufukuzwa kazi
Kolo wizards [emoji83] sisi Yanga makundi lazima
Kolo ni kolo tu[emoji83][emoji668]
Mayele kawafunga Simba goli 2[emoji460][emoji460]
Mayele kawafunga zalani goli 3[emoji460][emoji460][emoji460]
Hapo tofauti ya zalani na kolo ni ipi?
[emoji3504] Yanga tumeiomba CAF waruhusu Simba [emoji83]+Al hilal watengeneze timu 1 ili timu hiyo ndio ingie uwanjani kupambana na Yanga tarehe 8/10/2022
[emoji375][emoji375]Suala la hat trick kujirudia hiyo tarehe 8/10/2022
Ndio endapo wings back na middle players kutimiza majukumu yao vyema ili mipira imfikie yule unaemjua wewe ambae hutaki kumuona uwanjani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji375][emoji375]Yanga makundi ni suala la muda[emoji375][emoji375]
Yaani hata yeye anakushangaa kushabikia li timu la kipumbavu kama simba. Usikute kuwa shabiki wa simba ni dhambi sisi hatujui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], we jamaa acha kunifurahisha, umeiomba caf simba ishiriki, ahahhahahaha
Bc ingekuwa hivyo na si tungeomba lipuli ishiriki champions league wakt ule
Mayele kufunga mechi ya simba nd maan yake nn sas??!!! Nashkuru kuishabikia simba over this stupid club, kweli yanga washamba
Two quality differents [emoji777]Aaagh!! Sasa mnyama huwez mfananisha na uto* ni two quality differents
Mkuu me sijaiponda yanga ila! Nimetoa facts zangu tu!Yaani hata yeye anakushangaa kushabikia li timu la kipumbavu kama simba. Usikute kuwa shabiki wa simba ni dhambi sisi hatujui
Apo nd umekosowa nn sas!!!??Two quality differents [emoji777]
Two different qualities [emoji736]
KOLOWIZARD andika tu Kiswahili pia utaeleweka maana mkataa kwao ni mtumwa [emoji2]
Achana nao mzee watakuumiza kichwa makoloMkuu me sijaiponda yanga ila! Nimetoa facts zangu tu!
Kama kuna shabiki mwenye facts nae atoe, maana hatubishani wala kugombana