Kwanini wizara ya afya mmetudanganya?

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
825
Reaction score
161
Habari za leo wana JF inaskitisha wizara kama hii kutoa taarifa za uongo, ukizingatia taarifa yenyewe ni ya ajira mpya. Mnatuwekea majina ya watu walio kwisha ajiriwa mwaka jana na kuita eti ni (www.moh.go.tz) Nafasi za Ajira kwa Kada ya Afya 2014.

Inaskitisha, inahuzunisha inaumiza sana ukizingatia zahanati zimejengwa huko vijiini lakini hazina wahudum wa afya, tuwajibike kabla ya kuwajibishwa.

Naomba kuwasilisha
 
Mkuu tafuta uzi humu ulileta majina ya waliochaguliwa kwenye kada hiyo jaribu kucheki humu
 
Mkuu tafuta uzi humu ulileta majina ya waliochaguliwa kwenye kada hiyo jaribu kucheki humu
mkuu mimi pia nilidanganyika lakini niliposoma kwa undani yale majina kuna majina ya watu ambao wanafanya kazi ndipo niliposhituka kwamba ni majina ya mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…