Kwanini wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu?

Tata ya bana

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
304
Reaction score
369
Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
 
Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Maelekezo kutoka Washington yanasemaje?
 
Migongano ya Maslahi ya Kisiasa

Nchi nyingi za Kiarabu zina masuala ya ndani kama siasa, uchumi, na migawanyiko ya kidini (Sunni vs Shia). Hivyo mara nyingi huchagua kutojihusisha sana moja kwa moja ili kuepuka kugombana na mataifa makubwa.

Baadhi ya serikali za Kiarabu zina hofu kuwa ukitoa msaada mkubwa wa kijeshi kwa Palestina kutazichonganisha na Marekani na washirika wake.

---

2. Makubaliano na Israel

Mataifa kama Misri na Jordan tayari yamesaini makubaliano ya amani na Israel. Hivyo hawawezi kuonekana kusaidia vita dhidi ya Israel moja kwa moja.

Nchi kama Falme za Kiarabu (UAE), Bahrain, Morocco, na Sudan zimeanzisha uhusiano wa kawaida na Israel kupitia Abraham Accords (2020). Hii imepunguza sauti ya umoja wa Kiarabu dhidi ya Israel.

---

3. Uhasama wa Ndani ya Kiarabu

Kuna mgawanyiko ndani ya Kiarabu kuhusu nani aisaidie Palestina:

Qatar na Uturuki mara nyingi huwasaidia Hamas (kwa fedha na misaada).

Saudi Arabia na Misri huwa wanasaidia Fatah/Palestinian Authority zaidi.
Mgawanyiko huu unafanya Palestina kukosa msaada wa pamoja.

---

4. Udhaifu wa Umoja wa Kiarabu

Umoja wa Kiarabu (Arab League) mara nyingi unatoa misimamo ya maneno tu bila vitendo vya moja kwa moja. Kuna ukosefu wa mshikamano wa kweli katika utekelezaji.

---

5. Mambo ya Uchumi na Ulinzi

Mataifa ya Ghuba (Saudi, UAE, nk) yanafanya biashara kubwa na Marekani na hata kushirikiana kisilaha na Israel. Kupinga Israel waziwazi kutahatarisha uchumi na usalama wao.

Wanapendelea “uchumi kwanza” kuliko kuingia kwenye vita visivyo na mwisho.

---

6. Palestina yenyewe kugawanyika

Mgawanyiko wa kisiasa kati ya Hamas (Gaza) na Fatah/PA (West Bank) unawafanya hata Waarabu washindwe kuelewa nani wa kusaidia. Hii imepunguza mshikamano wa Kiarabu kwao
 
Kwasababu WAARABU NI WASHENZI, WABAGUZI, worst than any HUMAN YOU CAN IMAGINE. Mzungu alitutawala na kuhusika na biashara za utumwa lakini leo hii mzungu kujirekebisha, ( atleast ) anatukaribisha Ulaya, tunapata kazi , tunaoa wazungu, tunahaki ya uraia kwenye nchi zao, LAKINI MUARABU ????? mpaka leo hii MUARABU ANAUBAGUZI WA HALI YA JUU,HAWEZI KUWASAIDIA WAPALESTINA kwasababu wanawaona ni third class citizens,.... Mimi hata ninapoona Wafrika na Mikanzu mitaani kucoppy tamaduni za kiarabu huwa nasema kimoyomoyo kuwa hawawajui Waarabu.... Ukiujua ubaguzi na Ushenzi wa waarabu, Utakaa mbali kabisa na kila kitu chenye Uarabu.
 
Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
S mnasema mambo yao wachueni wenyew sasa uzi wa nn na hayakuhusu
 
Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Waarabu wameshawekwa chini ya himaya ya mabeberu
 
Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Qatar ni nchi ya kizungu ?
 
Baada ya Iran kukalishwa, hamna taifa lolote lenye usemi wowote dhidi ya Israel, inapaswa sasa hivi hao Wapalestina waache huo uzombi wa dini wakubali kuishi na Wayahudi kwa amani.
 
Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Wengi ni vibaraka wa USA hapo say Egypt, Jordan, Saudia wote ni puppets so hawawezi msaidia wakihofia kumuudhi boss wao.
 
mzungu kujirekebisha, ( atleast )
Mzungu yupi kajirekebisha?
LAKINI MUARABU ????? mpaka leo hii MUARABU ANAUBAGUZI WA HALI YA JUU,HAWEZI KUWASAIDIA WAPALESTINA
Tofautisha palestina na Hamas, inaonekana una uelewa mdogo sana. Hivi unajua kuna utawala mwingine kule westbank chini ya Mahmoud Abbas ambao ndio unatambulika zaidi kimataifa na unapokea mabilion kutoka nchi za kiarabu. Tatizo wengi wana mahusiano mazuri na USA hivyo wanahofia kumpa msaada Hamas utavuruga mahusiano mazuri na US.

Ukiujua ubaguzi na Ushenzi wa waarabu, Utakaa mbali kabisa na kila kitu chenye Uarabu.
Ushenzi kuliko wa wazungu hivi umewahi soma ukoloni ulivyomaliza watu DRC na Namibia yaani visima wanatia sumu kuua vijiji vizima enzi za kina King Leopold
 
FICHA UJinga Wako
 
Mkuu salute kwako.Mungu akuongezee maarifa zaidi
 
Ngoja waje waarabu wa Same na Kahama waje wakupinge. Ila umeongea vyema sana.

Kuna jamaa yangu mmoja alisoma na binti wa kiarabu huko Shinyanga buluba secondary school.wakapendana akasilimu ili waowane ikashindikana binti akatoroshwa na familia yake kupelekwa nje ya nchi ili wasioane.
 
Wakuu naomba mwenye kufahamu yafuatayo ajibu.nchi za ulaya wanamsupport Ukraine katika vita anayopambana nayo,sasa kwann wapalestina hawapati support yoyote kutoka nchi za kiarabu??
Chief unaona kinachoendelea hapa nchini? Kuna Taasisi yoyote ya kidini ya kislamu umeiona imesimama kidete kupinga kinachoendelea? Unahisi kwanini?
 
Wafanye uhuni then waungwe mkono? alafu miaka yote wanaungwa mkono na ndugu zao waarabu au unamaanisha waarabu watume majeshi kwa mara nyingine tena? kibano chake watakachokula sio msamaha tena maana Israel ameshasema amechoka na huruma either us or you no kubakizia baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…