Kwanini wanawake wengi hawapendi soccer?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Wanawake wanaopenda soka nawakubali sana,kuna wengine unakuta wanacheza mpira,mwili umekaa kimazoezi.

Kwani haipendezi we na mpenzi wako mnasubiri weekend kwa hamu kusubiri mechi,siyo wewe unaangalia mechi yeye kanuna anataka aangalie movie.




BTW mi naona wanawake wapenda soccer ni wacheshi sana na wamechangamka.
 
Huo ni mtazamo wako tu !! ke na mipra wapi Softness wapi LOVI-DUVI.... extra Romancia !!
 
Napenda Mpira so kivile ikifika tamthilia natoa mpira au nanuna mtu aking'ang'aniza
 
Mpira??? Bora nilale tu sio kuangalia mpira
 

uninyime kingine ila sio kuangalia mpira hasa wakiwa ni watoto wa barcelona dah
 
Ukiwakuta wanaoucheza wanapendeza sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…