Kwanini wanawake wengi hawalizishwi?

Kwakuwa wameonja radha tofauti tofauti ndio maana hisia zile za mtu wa mwisho alie nae zinakuwa hazipo!
 
Kwasababu wanawake Wengi hawako kwaajili ya kuridhishwa.iwe mke ndani,hawala na mchepuko
 
Maandalizi mabovu kabla ya gemu,unakuta ushapigwa mizinga ya kutosha mzuka umetoweka hamu ya tendo imetoweka tofaut na marioo hawatoi chochote wanasimamia kucha hatari no stress.
 
muda mwingine na wao hawajajianda kuridhika,mwanzo mwisho anamuachia mwanaume ashughulike,,ss ataridhikaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…