Kwanini wanawake mnajisahau?

Ndio hata uwe una mshepu wa haja ataangalia tuuu pembeni sijui ipoje mijanaume
Kwakweli mwenye shepu
Cjawah kumkosea mwanamke
Wa na namna hyo maana
Wananikosha co kitoto

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Ndio hata uwe una mshepu wa haja ataangalia tuuu pembeni sijui ipoje mijanaume
baadhi yao..wako hivo!
cha msingi fanya kila kitu kwa manufaa yako.sio kwa ajili ya kumfurahisha mwanaume..
akikuzingua sepa!
 
KWanini unakula sana......... Mtoto ananyonya sana
Mbona tumbo kubwa...........natafuta chakula cha mtoto hivyo lazima nile sana
 
Kusimama hadharani namna hii ni UMALAYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi ningali mdogo,nilikuwa najiuliza Hivi inakuwaje mwanaume kumuoa mwanamke mnene/tipwatipwa/unene uliopitiliza...?

Baadaye nikalisukuma hili swali kwa bi-mkubwa,yeye alinijuza kuwa baadhi anaowaona mtaani walikuwa na miili ya kawaida ila walioingia kwa ndoa miili yao ikabadilika.

Wanadada/akina mama muwemakini katika vyakula mlavyo na mazoezi kama inawezekana waweza kufanya...hata mwili ni moja ya faraja/furaha kwa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…