Kwanini wanawake mnajisahau?

Ashaambiwa na kaka( mumewe) na alishaambiwa tangu anachumbiwa kwamba akijiachia akawa futufutu italeta matatizo. Mumewe yupo vilevile hajabadilika
basi miache alielie hivohivo..
mpaka atapoamua kujipunguza..
 
Heeee mi najitahidi kurudisha umbo langu la zamani na nimefanikiwa kwa kiasi fulani...........hio mijanaume haitosheki tuuuu hata uwe vipi
 
Hata wanaume wengi sana wanajisahau tena ya weza kuwa 90%, ndio maana soko la faru dume limeshamiri.
 
Heeee mi najitahidi kurudisha umbo langu la zamani na nimefanikiwa kwa kiasi fulani...........hio mijanaume haitosheki tuuuu hata uwe vipi
u mean hata ukijipunguza na kuwa bomba bado atachepuka tu?
 
Gharama yote hayo...

Si rahisi kihivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…