Kwanini wanawake mnajisahau?

Namaanisha kwamba kwa mwendo wetu wa kula wali maharage sahani furushi na ugali dona wa maharege naona kama hii ishu ya kuacha kufutuka ni mission impossible
minyamanyama...mtu anakula supu huku anashushia na pepsi
anakula kitimoto roast na bia kama tano..
 
Nimekuelewa mkuu, ofcoz mazoezi yanahitajika sana afta delivery.....ila kuna wanaonenepa bcoz ov genetic makeup na inachangiwa pia na hormones wakat wa ujauzito, chamsingi kinamama ata kama watanenepa baada ya kujifungua inabidi wajishughulishe wawe na miili myepesi ili wasishindwe kufanya majukum mengine kiufasaha[emoji111]
 
Kai Kai

Nakudai na malipo yako ni kujisalimisha pm tena mikono juu Mwendo wa mateka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Kumantain mwili kunahitaji time and cash..

Maisha ya viporo vya wali maharage asubuhi wapi na wapi!!!?
ni kula tu kwa kuzingatia ratiba..sio mtu mda wote anakula tuu..
hata kama umenenepa..unaweza kurudi mwanzo bila gharama za juu..pika mlo wako bila mafuta mengi..tumi asali badala ya sukari..pika samaki badala ya nyama..vichemshe badala ya kukaanga.
usile vyakula vya makopo..
tengeneza juice ya ndimu bsdala ya parachichi..chukua hata kamba ndani uruke
ni mengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…