Kwanini wanawake mnajisahau?

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,475
Reaction score
11,674
habari yenu.

mi nimeliona hili karibu sehemu nyingi nkaona nlitue hapa..
kwanini wadada au wamama wengi wanajisahau na kuwa wazembe katika uangalizi wa miili yao?ni kuridhika na maisha au?
hata kama ni kuzaa..mtoto atakua lskini bado hujicontro kufanya juhudi urudi kama mwanzo..

ulikuwa kama hivi[emoji116]




very fine girl.hapo utakuta ndo ulikua unamgeuza shingo mumeo...hadi akaamua kukuoa..
kuzaa mtoto mmoja tu uko hivi


halafu unalalamika wee...baba naniliu ana michepuko..ananitesaaa.wakati we ndo tatizo.
wakati wa tendo la ndoa umelala tu chali ka maiti anaoshwa...hutikisiki hupepesi.uzito umekuzidia ila huoni unampa tabu mwenzoo.

mume sasa aanze kukupekenyua hiyo minyama uzembe mpaka alipate tundu jasho linamtoka..
sasa hapo kama nae na kile kitambi cha kupanda cheo kazini mnafanyaje?
ukiamua kujishghulisha japo umkalie juu ni kama kaelemewa na gunia la mahindi..afadhali lile kilo mia moja..wewe una kilo mia mbili na....hainjoy kabisa

wosia wangu kwenu dada zangu..ukiona mumeo anachepuka jistukie wewe kwanza kabla hujamvaa na kumchamba..na kuusaka mchepuko uukomeshe.

hilo nlotaja ni mojawapo ya sababu..jichunguze!
sometimes mchawi we mwenyewe..
na sio lazima uende gym..unaweza anza mazoezi ndani kwako na pia kuacha milo inayoongeza mafuta chumvi na sukari..
ndani ya mwezi mmoja utamshangaza hubby wako..na utaona tabasamu lake kwa hili.
hapo sasa ukifanyia kazi mafunzo ya somo wako akat umeekwa ndani mbona utaona mabadiliko
kazi kwako!
 
Ukweli mtupu ila wali mtamu wa maharage n ugali kwa dagaa walioungwa vzr ndo usiseme
 
Shemeji yangu(mke wa kaka) anakumbwa na hilo, mtoto wa kwanza tu- kafumuka, kafutuka ova furushi la magimbi. Analalamika mume wake kabadilika
 

Ulivyosema wanajisahau na nilivyoona hizo picha kabla ya kusoma , nilijua wanajisahau kuvaa nguo
 
Mabonge ni matamu ila siyo kama uliyemweka hapo juu.


Najua nimetoka nje ya mada ila mwenyewe sijapenda imenitokea tu.
pole mzee baba.[emoji14] [emoji13]
ndo mana uko hivi kumbe...
 
Shemeji yangu(mke wa kaka) anakumbwa na hilo, mtoto wa kwanza tu- kafumuka, kafutuka ova furushi la magimbi. Analalamika mume wake kabadilika
[emoji23] [emoji23] kamwambie ukweli..
kwa faida yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…