Kwanini Wanaume wanaogopa hii.

jijini leo

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
62
Reaction score
9
Habari zenu wana JF
Naomba kujua ni kwanini wanaume wengi wanaogopa sana kuoa mwanamke aliekwisha kuzaa na mwanaume mwngine?
A)hofu ya kupigiwa na mwanaume alozaa nae
B)Kuhudumia mtoto asie wake
C)A na B ni sawa.
Au huwa kuna sababu zingine katika hilo??
 
Marudio hii imeshajadiliwa sana...
 
anakua ni mwanaume asiyejiamini sasa huyo.
 
Ila The boss kwa manufaa ya cc wageni tujue kidogo
 
Kwenye hilo kila mmoja na mtazamo wake, huu sio wakati wa kusemeana.

Embu na wewe jibu hili.

Hivi ukipewa condom ambayo imeshatumika na mtu mwingine utaogopa kuitumia au? na kama utaogopa ni kwanini?
 
Ana b ni sahihi pia kunahili yule mtoto wake alomuzaa kwa mwanaumme mwingine siku akifanikiwa atakuja chukua mama yake nawakati huo wewe nimzee au mbabu je nani atakuhudumia coz utakuwa huna uwezo wa kuoa tena.nyingine mtoto asiye damu yako anaweza kukupiga pale akiona mamake unampeleka ndivyo sivyo au mnasemaje wadau kwa point hizo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Nani anataka makombo?
 
Nani atataka shombo la mtu mwingine banaa..? Kwani Vigori wamekwisha mtu na akili zako ukachukue vilivyotumiwa na wenginee..ah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…