Kumbe matusi yanawauma eeh, nyie mnavyopenda kupewa uhuru wa kutukana Viongozi huwa mnajisikiaje?Tunajaribu kupunguza idadi ya wajinga kwenye feeds zetu. Mtu anakuwa hana objective arguments au anamatusi matusi tu sasa huyo unamwacha wa nini?
Jielimishe: Twitter = mtandao wa kijamii ambao kimakosa umeuita "Tweeter" which instead means "mtu anayetwiti," na kile kinachopostiwa huitwa "tweet."Kwa nini wale wanaharakati wa Tweeter hukiwachalenji kidogo tu kwenye hoja zao wanakutia ban,
Kwa nini? Kila wanachosema wao wanataka ukiunge mkono ukibishana nao tu ten kwa hoja wanakutia ban kwa nini?
Mimi sio mwanasiasa, na sio mwanachama wa chama chochote, huwa nasema kweli kwenye kweli, na kweli penye uongo,
Alafu ndio hao wanaharakati wanaotetea Uhuru wa kutoa maoni wakati wao hawapendi kusikia baadhi ya vitu flani flani,
Wanajifanya ni magreat thinker wakati wako empty, Zero brain,
Ukiwajibu kwa fact wakiona kweli wamehelemewa wanakutia ban, usione, wala kureply kwenye post
zao shubamit.
Wanaharakati uchwara.
Nb:
Yule ndugu yao Kigogo kani ban, kisa nimchallange kidogo, yule wakujiita Maltin M. M Nae kaniblock, yule mdada wao anaetukana tukana bila staa nae kaniblock,
Alafu wanajiita wanaharakati watetezi wa haki za binadamu.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri hojaJielimishe: Twitter = mtandao wa kijamii ambao kimakosa umeuita "Tweeter" which instead means "mtu anayetwiti," na kile kinachopostiwa huitwa "tweet."
Kwenye mtandao huo kuna kitufe kinachomwezesha mtumiaji kumbloku mtu mwingine kwa sababu yoyote ile atakayoona inafaa. It is there for a reason, sio urembo.
Uzoefu unaonyesha kuwa "kila mfungwa hudai ameonewa, hakufanya kosa lililopelekea kufungwa." Likewise, kila mtu anayelimwa bloku Twitter hukimbilia kulalamika kuwa ameonewa.
Kukusaidia tu, mtu akikubloku kwenye mtandao wa kijamii sio kama amebloku mfumo wa hewa mwilini mwako. There’s more to life than Twitter. Move on with your life...
Kigogo ndio mdhaifu kuliko wote. Hovyo kabisa. Yani ana roho nyepesi sana , ukichallenge tu kidogo anapanic kama bomu. Yani yeye anaamini yeye ndio genius ana akili kuliko wote.Kwa nini wale wanaharakati wa Tweeter hukiwachalenji kidogo tu kwenye hoja zao wanakutia ban,
Kwa nini? Kila wanachosema wao wanataka ukiunge mkono ukibishana nao tu ten kwa hoja wanakutia ban kwa nini?
Mimi sio mwanasiasa, na sio mwanachama wa chama chochote, huwa nasema kweli kwenye kweli, na kweli penye uongo,
Alafu ndio hao wanaharakati wanaotetea Uhuru wa kutoa maoni wakati wao hawapendi kusikia baadhi ya vitu flani flani,
Wanajifanya ni magreat thinker wakati wako empty, Zero brain,
Ukiwajibu kwa fact wakiona kweli wamehelemewa wanakutia ban, usione, wala kureply kwenye post
zao shubamit.
Wanaharakati uchwara.
Nb:
Yule ndugu yao Kigogo kani ban, kisa nimchallange kidogo, yule wakujiita Maltin M. M Nae kaniblock, yule mdada wao anaetukana tukana bila staa nae kaniblock,
Alafu wanajiita wanaharakati watetezi wa haki za binadamu.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wako empy kabisaKigogo ndio mdhaifu kuliko wote. Hovyo kabisa. Yani ana roho nyepesi sana , ukichallenge tu kidogo anapanic kama bomu. Yani yeye anaamini yeye ndio genius ana akili kuliko wote.
Fungua akaunti kadhaa kwenye mtandao husika za kushughulika na ndugu hawa kama feeds zao zinaumuhimu sana kwako. Tafadhali usifanye hivyo JF.Ukiwajibu kwa fact wakiona kweli wamehelemewa wanakutia ban, usione, wala kureply kwenye post
zao shubamit.
Kwa nini wale wanaharakati wa Tweeter hukiwachalenji kidogo tu kwenye hoja zao wanakutia ban,
Kwa nini? Kila wanachosema wao wanataka ukiunge mkono ukibishana nao tu ten kwa hoja wanakutia ban kwa nini?
Mimi sio mwanasiasa, na sio mwanachama wa chama chochote, huwa nasema kweli kwenye kweli, na kweli penye uongo,
Alafu ndio hao wanaharakati wanaotetea Uhuru wa kutoa maoni wakati wao hawapendi kusikia baadhi ya vitu flani flani,
Wanajifanya ni magreat thinker wakati wako empty, Zero brain,
Ukiwajibu kwa fact wakiona kweli wamehelemewa wanakutia ban, usione, wala kureply kwenye post
zao shubamit.
Wanaharakati uchwara.
Nb:
Yule ndugu yao Kigogo kani ban, kisa nimchallange kidogo, yule wakujiita Maltin M. M Nae kaniblock, yule mdada wao anaetukana tukana bila staa nae kaniblock,
Alafu wanajiita wanaharakati watetezi wa haki za binadamu.
Cc Zero IQ
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu alafu ndio wanajiita watetezi wa haki na uhuru wa kujieleza ikiwa wao hawataki kukosolewa.Ili mtu ufaanye maamuzi sahii unatakiwa uwe katika hali ya msawazo kihisia, kifkra na kimwili pia.
Hao wantumia hisia kujadili, kupesndekeza na kutoa maamuzi.
Hawapendi kukosolewa, wanapenda kusikilizwa wao tu( wabinafsi).
Kiufupi wapo kuhadaa na kuhamasisha kile waanachokiamini kwa watu wasiotumia akili.
Binafsi tuwape nafasi wale wanao kuwa kinyume na mawazo yetu ili tujifunze tunapokosea. Lakini kwa jamii ya kiafrika na watanzania pia hii kitu ni NGUMU SANA. May be nikutokana na malezi na mifumo ya kurithi
Ata nikifungua bado nitawachallange na wataniblockFungua akaunti kadhaa kwenye mtandao husika za kushughulika na ndugu hawa kama feeds zao zinaumuhimu sana kwako. Tafadhali usifanye hivyo JF.
Kweli kabisa mkuuzaidi ya njaa na kutafuta kiki za kisiasa, hakuna mwanaharakati nchi hii.
Kule sio FB ambapo watu wanabishana mambo ya kijingaKweli kabisa mkuu alafu ndio wanajiita watetezi wa haki na uhuru wa kujieleza ikiwa wao hawataki kukosolewa.
Wako empty set kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi. Nafiri kwa Tanzania hakuna chama cha kidicteta kama Chadema. Hawaheshimu kabisa uhuru wa wengine kujieleza . Utaona hata humu JF wanavyo behave. Yao ni matusi ukitofautiana nao. Hawatakuja kupewa nchi na sisi watanzania kwa mwenendo huuKwanini wale wanaharakati wa Twitter hukiwachalenji kidogo tu kwenye hoja zao wanakutia ban,
Kwanini?
Kila wanachosema wao wanataka ukiunge mkono ukibishana nao tu tena kwa hoja wanakutia ban kwa nini?
Mimi sio mwanasiasa, na sio mwanachama wa chama chochote, huwa nasema kweli kwenye kweli, na kweli penye uongo.
Halafu ndio hao wanaharakati wanaotetea Uhuru wa kutoa maoni wakati wao hawapendi kusikia baadhi ya vitu flani fulani,
Wanajifanya ni magreat thinker wakati wako empty, Zero brain,
Ukiwajibu kwa fact wakiona kweli wamehelemewa wanakutia ban, usione, wala kureply kwenye post
zao shubamit.
Wanaharakati uchwara.
Nb:
Yule ndugu yao Kigogo aliyewasaliti aliniban kitambo kisa nimechallange , yule wakujiita Maltin M. M Nae kaniblock, yule mdada wao anaetukana tukana bila staa nae kaniblock,
Alafu wanajiita wanaharakati watetezi wa haki za binadamu.
Cc Zero IQ
Tunajaribu kupunguza idadi ya wajinga kwenye feeds zetu. Mtu anakuwa hana objective arguments au anamatusi matusi tu sasa huyo unamwacha wa nini?