Kwanini wanaharakati wa Twitter ukiwa-challenge kidogo tu wanaku-block?

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Kwanini wale wanaharakati wa Twitter hukiwachalenji kidogo tu kwenye hoja zao wanakutia ban,
Kwanini?

Kila wanachosema wao wanataka ukiunge mkono ukibishana nao tu tena kwa hoja wanakutia ban kwa nini?

Mimi sio mwanasiasa, na sio mwanachama wa chama chochote, huwa nasema kweli kwenye kweli, na kweli penye uongo.

Halafu ndio hao wanaharakati wanaotetea Uhuru wa kutoa maoni wakati wao hawapendi kusikia baadhi ya vitu flani fulani,

Wanajifanya ni magreat thinker wakati wako empty, Zero brain,

Ukiwajibu kwa fact wakiona kweli wamehelemewa wanakutia ban, usione, wala kureply kwenye post
zao shubamit.

Wanaharakati uchwara.

Nb:
Yule ndugu yao Kigogo aliyewasaliti aliniban kitambo kisa nimechallange , yule wakujiita Maltin M. M Nae kaniblock, yule mdada wao anaetukana tukana bila staa nae kaniblock,
Alafu wanajiita wanaharakati watetezi wa haki za binadamu.

Cc Zero IQ
 
Kwa nini wale wanaharakati wa Tweeter hukiwachalenji kidogo tu kwenye hoja zao wanakutia ban,
Kwa nini? Kila wanachosema wao wanataka ukiunge mkono ukibishana nao tu ten kwa hoja wanakutia ban kwa nini?

Mimi sio mwanasiasa, na sio mwanachama wa chama chochote, huwa nasema kweli kwenye kweli, na kweli penye uongo,

Alafu ndio hao wanaharakati wanaotetea Uhuru wa kutoa maoni wakati wao hawapendi kusikia baadhi ya vitu flani flani,

Yule ndugu yao Kigogo kani ban, kisa nimchallange kidogo, yule wakujiita Maltin M. M Nae kaniblock, yule mdada wao anaetukana tukana bila staa nae kaniblock,

Sent using Jamii Forums mobile app
Jielimishe: Twitter = mtandao wa kijamii ambao kimakosa umeuita "Tweeter" which instead means "mtu anayetwiti," na kile kinachopostiwa huitwa "tweet."

Kwenye mtandao huo kuna kitufe kinachomwezesha mtumiaji kumbloku mtu mwingine kwa sababu yoyote ile atakayoona inafaa. It is there for a reason, sio urembo.

Uzoefu unaonyesha kuwa "kila mfungwa hudai ameonewa, hakufanya kosa lililopelekea kufungwa." Likewise, kila mtu anayelimwa bloku Twitter hukimbilia kulalamika kuwa ameonewa.

Kukusaidia tu, mtu akikubloku kwenye mtandao wa kijamii sio kama amebloku mfumo wa hewa mwilini mwako. There’s more to life than Twitter. Move on with your life...
 
Soma vizuri hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini wale wanaharakati wa Tweeter hukiwachalenji kidogo tu kwenye hoja zao wanakutia ban,
Kwa nini? Kila wanachosema wao wanataka ukiunge mkono ukibishana nao tu ten kwa hoja wanakutia ban kwa nini?

Mimi sio mwanasiasa, na sio mwanachama wa chama chochote, huwa nasema kweli kwenye kweli, na kweli penye uongo,

Alafu ndio hao wanaharakati wanaotetea Uhuru wa kutoa maoni wakati wao hawapendi kusikia baadhi ya vitu flani flani,

Wanajifanya ni magreat thinker wakati wako empty, Zero brain,

Ukiwajibu kwa fact wakiona kweli wamehelemewa wanakutia ban, usione, wala kureply kwenye post
zao shubamit.

Wanaharakati uchwara.

Nb:
Yule ndugu yao Kigogo kani ban, kisa nimchallange kidogo, yule wakujiita Maltin M. M Nae kaniblock, yule mdada wao anaetukana tukana bila staa nae kaniblock,
Alafu wanajiita wanaharakati watetezi wa haki za binadamu.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Kigogo ndio mdhaifu kuliko wote. Hovyo kabisa. Yani ana roho nyepesi sana , ukichallenge tu kidogo anapanic kama bomu. Yani yeye anaamini yeye ndio genius ana akili kuliko wote.
 
Kwa nini wale wanaharakati wa Tweeter hukiwachalenji kidogo tu kwenye hoja zao wanakutia ban,
Kwa nini? Kila wanachosema wao wanataka ukiunge mkono ukibishana nao tu ten kwa hoja wanakutia ban kwa nini?

Mimi sio mwanasiasa, na sio mwanachama wa chama chochote, huwa nasema kweli kwenye kweli, na kweli penye uongo,

Alafu ndio hao wanaharakati wanaotetea Uhuru wa kutoa maoni wakati wao hawapendi kusikia baadhi ya vitu flani flani,

Wanajifanya ni magreat thinker wakati wako empty, Zero brain,

Ukiwajibu kwa fact wakiona kweli wamehelemewa wanakutia ban, usione, wala kureply kwenye post
zao shubamit.

Wanaharakati uchwara.

Nb:
Yule ndugu yao Kigogo kani ban, kisa nimchallange kidogo, yule wakujiita Maltin M. M Nae kaniblock, yule mdada wao anaetukana tukana bila staa nae kaniblock,
Alafu wanajiita wanaharakati watetezi wa haki za binadamu.

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app

Ili mtu ufaanye maamuzi sahii unatakiwa uwe katika hali ya msawazo kihisia, kifkra na kimwili pia.

Hao wantumia hisia kujadili, kupesndekeza na kutoa maamuzi.

Hawapendi kukosolewa, wanapenda kusikilizwa wao tu( wabinafsi).

Kiufupi wapo kuhadaa na kuhamasisha kile waanachokiamini kwa watu wasiotumia akili.

Binafsi tuwape nafasi wale wanao kuwa kinyume na mawazo yetu ili tujifunze tunapokosea. Lakini kwa jamii ya kiafrika na watanzania pia hii kitu ni NGUMU SANA. May be nikutokana na malezi na mifumo ya kurithi
 
Kweli kabisa mkuu alafu ndio wanajiita watetezi wa haki na uhuru wa kujieleza ikiwa wao hawataki kukosolewa.

Wako empty set kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wale wanaharakati wa Twitter hukiwachalenji kidogo tu kwenye hoja zao wanakutia ban,
Kwanini?

Kila wanachosema wao wanataka ukiunge mkono ukibishana nao tu tena kwa hoja wanakutia ban kwa nini?

Mimi sio mwanasiasa, na sio mwanachama wa chama chochote, huwa nasema kweli kwenye kweli, na kweli penye uongo.

Halafu ndio hao wanaharakati wanaotetea Uhuru wa kutoa maoni wakati wao hawapendi kusikia baadhi ya vitu flani fulani,

Wanajifanya ni magreat thinker wakati wako empty, Zero brain,

Ukiwajibu kwa fact wakiona kweli wamehelemewa wanakutia ban, usione, wala kureply kwenye post
zao shubamit.

Wanaharakati uchwara.

Nb:
Yule ndugu yao Kigogo aliyewasaliti aliniban kitambo kisa nimechallange , yule wakujiita Maltin M. M Nae kaniblock, yule mdada wao anaetukana tukana bila staa nae kaniblock,
Alafu wanajiita wanaharakati watetezi wa haki za binadamu.

Cc Zero IQ
Uko sahihi. Nafiri kwa Tanzania hakuna chama cha kidicteta kama Chadema. Hawaheshimu kabisa uhuru wa wengine kujieleza . Utaona hata humu JF wanavyo behave. Yao ni matusi ukitofautiana nao. Hawatakuja kupewa nchi na sisi watanzania kwa mwenendo huu
 
Tunajaribu kupunguza idadi ya wajinga kwenye feeds zetu. Mtu anakuwa hana objective arguments au anamatusi matusi tu sasa huyo unamwacha wa nini?

Hadi unawaita wajinga inamaanisha kuna ujinga ndani yako pia, mkishapata followers kadhaa mnajiona mnafaa kuliko wengine. Kama una akili unatakiwa kumconvince aelewe unachomweleza, asipoelewa inamaanisha wewe pia hukielewi kiufasaha, na kama una uhakika na uelewa wako basi try to 'agree to disagree'
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom