Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 31,298 Reaction score 89,405 Oct 8, 2024 #41 Kilangi masanja said: Mie mnielekeze l pa kupata nokie express music org na iwe nzima aloo nitashukuru sana Click to expand... Simtangazii biashara ila uyu “Queen of Accessories “ ndio uwa namuelewa kwa old school Zote. Cheki N95 hii kaipost dakika 20 Ziliopita.
Kilangi masanja said: Mie mnielekeze l pa kupata nokie express music org na iwe nzima aloo nitashukuru sana Click to expand... Simtangazii biashara ila uyu “Queen of Accessories “ ndio uwa namuelewa kwa old school Zote. Cheki N95 hii kaipost dakika 20 Ziliopita.
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,598 Reaction score 5,188 Oct 8, 2024 #42 Anaziuzaje mashine za kazi hizo
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,630 Reaction score 14,605 Oct 8, 2024 #43 Apart from LUMIA kuna HTC hivi kuna simu kali kuzidi hizii??
K Kahama- shy JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 2,054 Reaction score 2,906 Nov 5, 2024 #44 Real One said: Nilishawahi kutumia windows phone ya htc mwaka 2015 simu ilikuwa vizuri kwenye kula bando kwa shilingi mia sita nilikuwa napata Gb 1.2 ila ndani ya masaa mawili shughuli imekata Click to expand... Nimekuchek mkuu
Real One said: Nilishawahi kutumia windows phone ya htc mwaka 2015 simu ilikuwa vizuri kwenye kula bando kwa shilingi mia sita nilikuwa napata Gb 1.2 ila ndani ya masaa mawili shughuli imekata Click to expand... Nimekuchek mkuu