The Prophet JF-Expert Member Mar 17, 2011 682 94 Jun 17, 2011 #1 mimi siyo muongeaji sana. nadhani swali limeeleweka. naomba mwenye kujua sababu atujuze
The Prophet JF-Expert Member Mar 17, 2011 682 94 Jun 17, 2011 Thread starter #3 Majoja said: Kwa sababu havilipi Click to expand... havilipi kitu gani mkuu? fafanua tafadhali.
G GJ Mwanakatwe JF-Expert Member Mar 26, 2011 241 27 Jun 17, 2011 #4 Kutangaza vipindi vya bunge ni gharama, ndiyo sababu vituo binafsi havitangazi, hakuna wa kuwalipa ili watangaze,
Kutangaza vipindi vya bunge ni gharama, ndiyo sababu vituo binafsi havitangazi, hakuna wa kuwalipa ili watangaze,
The Prophet JF-Expert Member Mar 17, 2011 682 94 Jun 17, 2011 Thread starter #5 GJ Mwanakatwe said: Kutangaza vipindi vya bunge ni gharama, ndiyo sababu vituo binafsi havitangazi, hakuna wa kuwalipa ili watangaze, Click to expand... RTD nao je? si tunakatwa PAYE kila mwezi, na wao hawawezi kulipia?
GJ Mwanakatwe said: Kutangaza vipindi vya bunge ni gharama, ndiyo sababu vituo binafsi havitangazi, hakuna wa kuwalipa ili watangaze, Click to expand... RTD nao je? si tunakatwa PAYE kila mwezi, na wao hawawezi kulipia?
S sem2708 JF-Expert Member Nov 4, 2010 5,204 4,211 Jun 17, 2011 #6 Lengo ni kuwafanya wananchi wasijue 'pumba' ama 'umahiri' wa wabunge wao.
Majoja JF-Expert Member Jun 10, 2011 612 186 Jun 17, 2011 #7 sem2708 said: Lengo ni kuwafanya wananchi wasijue 'pumba' ama 'umahiri' wa wabunge wao. Click to expand... Anzisha kituo cha kwako na utangaze bure, nchi huru hii bwana.Mbona wenzenu CCM wanacho cha kwao
sem2708 said: Lengo ni kuwafanya wananchi wasijue 'pumba' ama 'umahiri' wa wabunge wao. Click to expand... Anzisha kituo cha kwako na utangaze bure, nchi huru hii bwana.Mbona wenzenu CCM wanacho cha kwao