Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,499
- 9,322
Karibu sana MkuuNikipata simu nitakuja kutoa ushuhuda
Airtel Kwa kweli Wana mambo Fulani ya tofauti sana na kwasasa naona Mjini hapa wanazidi KupoteaNilianzia Tigo sababu ya zile Uni offer 😁
Nikahamia Voda after Uni Life, niingie kitaa na new number…
Airtel ni mtandao siuelewi kabisaaa yan..
Akili za wapi hizi!Nikipata simu nitakuja kutoa ushuhuda
Coverage ya Voda Vipi?Tigo sababu kahela kangu ka mshahara kanapitia huko.
Voda Kwa sababu unatumia MB ZAKO MPAKA MWISHO.
tofauti na tigo ni wezi wa Mb.
Zikifika chini ya mia kwisha habari.ila voda mnaenda mpaka 0
Huku nilipo ipo vizuri.Coverage ya Voda Vipi?