Sasa unachoshangaa ni ninMfano kozi ambazo hawana ni mechanical,electrical,
civil,electronic (engineering ).
hata kama hawana nursing atleast wana kozi za afya zingine.lakini udom sijawahi sikia kama wana kozi za yoyote ya engineering
Acha uwongo zipo baadhi ya kozi za engineering kama mining engineering,petroleum engineering,telecom eng,computer eng,software eng etc
kuna
1.Software engineering (collage of Informatics)
2. mining engineering
3.Petrolium engineering
4.Telecomunication Engineering (collage of informatics)
5.computer Engineering (collage of informatics)
po nying sana za engineeringnatumai niwazima wanajamvi kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepatwa na matatizo anuai basi Mungu ashushe huruma yake ya kiroho wapate nafuu.
UDOM ni chuo kikubwa sana hapa Tanzania ila na shangaa kwanini kina kosa fani muhimu kama mechanical,electrical,
civil,electronic (engineering ).
ningependa kufahamu nisababu zipi hasa zinapelekea kwa hali hii,eidha ni chuo cha sanaa zaidi,fani za sayansi hazina wasomaji wengi au nini hasa?
karibuni kwa maoni yenu.
nielekeze source ambayo naweza kuziona hizo kozi,nimetafuta muda bila mafanikio pia udom hawana electronic/pdf prospectus
No research, no right to speak. Ulifanya uchunguz wa kutosha ukaona hawana kozi za engineering? yani wewe umetumia njia moja tu ukakosa then hapohapo uka draw conclusion kwamba hazipo, n ukatoka mbio kuja jf kulalama, badala ya kutafuta mbinu mbadala ya kupata taarifa. Kwahyo mentality yako elimu ya chuo itakushinda coz ukipewa assignment ukaenda google ukakosa then haujiongez kutafuta other sources.natumai niwazima wanajamvi kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine wamepatwa na matatizo anuai basi Mungu ashushe huruma yake ya kiroho wapate nafuu.
UDOM ni chuo kikubwa sana hapa Tanzania ila na shangaa kwanini kina kosa fani muhimu kama mechanical,electrical,
civil,electronic (engineering ).
ningependa kufahamu nisababu zipi hasa zinapelekea kwa hali hii,eidha ni chuo cha sanaa zaidi,fani za sayansi hazina wasomaji wengi au nini hasa?
karibuni kwa maoni yenu.
No research, no right to speak. Ulifanya uchunguz wa kutosha ukaona hawana kozi za engineering? yani wewe umetumia njia moja tu ukakosa then hapohapo uka draw conclusion kwamba hazipo, n ukatoka mbio kuja jf kulalama, badala ya kutafuta mbinu mbadala ya kupata taarifa. Kwahyo mentality yako elimu ya chuo itakushinda coz ukipewa assignment ukaenda google ukakosa then haujiongez kutafuta other sources.
Pale UDOM kuna college mbili: informatics na mining, ndani ya hizo college kozi zote zitolewazo ni engineering, zipo zaid ya kumi. Mbona hushangai UDSM hakuna kozi za udaktar, na kozi nyingine za afya but UDOM zipo?
nielekeze source ambayo naweza kuziona hizo kozi,nimetafuta muda bila mafanikio pia udom hawana electronic/pdf prospectus
Prospectus hakuna au hujui kuitafutaa ????nielekeze source ambayo naweza kuziona hizo kozi,nimetafuta muda bila mafanikio pia udom hawana electronic/pdf prospectus