Magari ya kijapani nadhani limit mwisho ni 180,kmhWakuu
Baada ya kupata bahati ya kuwemo katika magari aina tofauti tofauti, makubwa na madogo lakini kubahatika kuendesha umbali mrefu kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, kitu kimoja nimekuwa nikijiuliza, ni kwa nini magari ''karibia'' yanaonesha uwezo wa kwenda kasi kufikia mwendo wa 180 km/h?
Nilichogundua, mwendo kasi wa 180 km/h ni mkubwa sana sana sana, haufikiki, ni hatari na sio halisi hasa kwa aina ya magari yetu mengi ambayo ni mtumba huku barabara zetu nazo zikiwa sio rafiki.
Kwa mfano, magari ya cc 900 mpaka 2000cc haya kuwekewa mwendo kasi wa 180 km/h ni sahihi? Kwanini wasingeweka tu mfano 140 km/h? Hebu tuangalie uhalisia, katika mazingira yoyote yenye cc chini ya 1500 inaweza kweli kufika mwendo kasi wa let say 160km/h? Binafsi sidhani. Kwa gari maalumu za kwenda kasi na safari ndefu, ama zenye cc zaidi ya 2500 uwezekano unaweza kuwepo lakini kwa hizi nyingine, nahisi watengenezaji wanatulipisha gharama kubwa kwa kitu ambacho hakipo ama kwa kifupi wanatuibia.
Nini mtazamo wako?
Mwambie ajaribu E Class unavuka John Kijazi Interchange Mwenge to Bugurini 150km/h kama umesimama vile.Wewe umetembelea gari za mjapani. Kacheck chuma za kijerumani cc 1600 speed 260 huku tatizo barabara haziruhusu na full matuta na hazijawa protected unaweza kuwa speed 120 unakuta mtu kaingia Road na kundi la ng'ombe
Kipaso cha piston 3!! Ukikanyigia kikifika 70kph kinaanza kutetemeka! Kinaunguruma unaweza sema piston zitatoka ubavuni.Mmepakizana watubwatano kwenye kipaso afu unategemea kifike 180? Panda peke ako...
Magari yote ni yametengenezwa na mabeberu ndio maana huwa natumia usafiri wa pundaWakuu
Baada ya kupata bahati ya kuwemo katika magari aina tofauti tofauti, makubwa na madogo lakini kubahatika kuendesha umbali mrefu kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, kitu kimoja nimekuwa nikijiuliza, ni kwa nini magari ''karibia'' yanaonesha uwezo wa kwenda kasi kufikia mwendo wa 180 km/h?
Nilichogundua, mwendo kasi wa 180 km/h ni mkubwa sana sana sana, haufikiki, ni hatari na sio halisi hasa kwa aina ya magari yetu mengi ambayo ni mtumba huku barabara zetu nazo zikiwa sio rafiki.
Kwa mfano, magari ya cc 900 mpaka 2000cc haya kuwekewa mwendo kasi wa 180 km/h ni sahihi? Kwanini wasingeweka tu mfano 140 km/h? Hebu tuangalie uhalisia, katika mazingira yoyote yenye cc chini ya 1500 inaweza kweli kufika mwendo kasi wa let say 160km/h? Binafsi sidhani. Kwa gari maalumu za kwenda kasi na safari ndefu, ama zenye cc zaidi ya 2500 uwezekano unaweza kuwepo lakini kwa hizi nyingine, nahisi watengenezaji wanatulipisha gharama kubwa kwa kitu ambacho hakipo ama kwa kifupi wanatuibia.
Nini mtazamo wako?
Ha ha ha aisee! Huko mbali mlimani city hadi KIJAZI Crown imefuta sahani zamani! Ila SPEED KILLS acheni mwendokasiMwambie ajaribu E Class unavuka John Kijazi Interchange Mwenge to Bugurini 150km/h kama umesimama vile.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
[emoji109][emoji109][emoji109]kabisa mkuu gari za mjapan zimeharibu watu wamekariri gari zote zipo hivyo akajaribu gari from europe upo speed 200 utafikiri upo speed 60 mashine ipo comfortable hakuna mfanoWewe umetembelea gari za mjapani. Kacheck chuma za kijerumani cc 1600 speed 260 huku tatizo barabara haziruhusu na full matuta na hazijawa protected unaweza kuwa speed 120 unakuta mtu kaingia Road na kundi la ng'ombe
Land cruiser new models zina speed 240km/hMagari ya kijapani nadhani limit mwisho ni 180,kmh
Ni sera za JDM gari zinazotengenezwa kwa matumizi ya soko la japan speed limit mwisho 180kph
Wewe umetembelea gari za mjapani. Kacheck chuma za kijerumani cc 1600 speed 260 huku tatizo barabara haziruhusu na full matuta na hazijawa protected unaweza kuwa speed 120 unakuta mtu kaingia Road na kundi la ng'ombe
Amna nilimaanisha kua unavuka Interchange kwa speed hiyo ukitoka Mwenge kwenda Buguruni kama umesimama vile.Ha ha ha aisee! Huko mbali mlimani city hadi KIJAZI Crown imefuta sahani zamani! Ila SPEED KILLS acheni mwendokasi
🤣🤣🤣🤣Wewe umetembelea gari za mjapani. Kacheck chuma za kijerumani cc 1600 speed 260 huku tatizo barabara haziruhusu na full matuta na hazijawa protected unaweza kuwa speed 120 unakuta mtu kaingia Road na kundi la ng'ombe
Mkuu unaelewa maana ya JDM ???Land cruiser new models zina speed 240km/h
Prado zina 200km/h
Hilux zina 200km/h