Mkuu na vipi kuhusu o-levelHivi mmewahi kujiuliza kwamba mtu aliyepata division 4 ya point 28 somo la BASIC MATHS alipata F akaenda kusoma ualimu wa GRADE A anapata training ya kufundisha masomo yoote ya PRIMARY SCHOOL anakuja kuwa mwalimu wa hesabu kuanzia darasa la kwanza hadi la saba...
Sahihi.Hivi mmewahi kujiuliza kwamba mtu aliyepata division 4 ya point 28 somo la BASIC MATHS alipata F akaenda kusoma ualimu wa GRADE A anapata training ya kufundisha masomo yoote ya PRIMARY SCHOOL anakuja kuwa mwalimu wa hesabu kuanzia darasa la kwanza hadi la saba.
Wanafunzi hawapendi hesabu sababu waalimu wa sasa maarifa (skills) za ufundishaji hazimvutii mwanafunzi kupenda hisabatiKwa ujumla wanafunzi wa sasa wengi hawapendi hesabu na masomo ya sayansi...
Hivi mmewahi kujiuliza kwamba mtu aliyepata division 4 ya point 28 somo la BASIC MATHS alipata F akaenda kusoma ualimu wa GRADE...
Kiongozi math yaonekana ngum pia ni sababu walim weng wako shallow kweny ufundshajWanafunzi wa Darasa la Saba wamemaliza Mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi, lkn ktk tathimini ya haraka haraka wanafunzi wengi wanalalamika kuwa mtihani wa somo la Hisabati ulikuwa mgumu sana.
Swali ambalo nimejiuliza:
1. Kuna tatizo gani ktk somo la Hisabati kwa Elimu ya Tanzania?
2. Ni somo la Hisabati ndio Gumu au Wanao tunga mitihani ya somo la Hesabati ndio wanafanya somo lionekane kuwa gumu?
nadhani kuna haja kwa mamlaka ya Elimu kutazama kwa makini ili ibainike.
Tusitunge mitihani kama vile tunawakomoa wanafunzi. tuwapime kwa viwango vyao na kwa kulingana na upeo wao wa akili tusiwape mitihani ambayo iko juu ya uwezo wao.
Kwani kuna ulazima wa kutunga maswali "complicated"? kwa maoni yangu sioni kama kuna ulazima.
Fact mkuu maana sio hesab TU all science subject bado wanaend Soma wat walopata lower classHivi mmewahi kujiuliza kwamba mtu aliyepata division 4 ya point 28 somo la BASIC MATHS alipata F akaenda kusoma ualimu wa GRADE A anapata training ya kufundisha masomo yoote ya PRIMARY SCHOOL anakuja kuwa mwalimu wa hesabu kuanzia darasa la kwanza hadi la saba.
Nadhani sera ya elimu iangalie hapo kwanza waalimu wa hesabu kwa level zoote hasa shule za misingi wawe wamefaulu hesabu au kuwe na utaratibu wa ku train waalimu wa shule za misingi kufundisha masomo walioyabobea kama sekondari ilivyo.
Mwanafunzi yyt humudu somo katika hatua za MSINGI kabla ya kufika sekondari.
Nashauri sera iangaliwe upya.
Sasa, mbona miaka ya 90 kurudi nyumba walimu waliotufundisha walipata daraja la nne hilohilo na hali haikuwa mbaya kama miaka hii? Viwango vya ufaulu kwa waliokwenda kujifunza ualimu ngazi ya cheti ni kilekile toka zama hizo hadi leo. Tena kadiri miaka inavyosonga, ndipo unaweza kukuta mpaka division two na three wapo vyuo hivi vya ualimu ngazi ya vyeti. Siku hizi mwanao akipata four chakavu, kupata chuo cha serikali ni mtihani.Hivi mmewahi kujiuliza kwamba mtu aliyepata division 4 ya point 28 somo la BASIC MATHS alipata F akaenda kusoma ualimu wa GRADE A anapata training ya kufundisha masomo yoote ya PRIMARY SCHOOL anakuja kuwa mwalimu wa hesabu kuanzia darasa la kwanza hadi la saba.
Nadhani sera ya elimu iangalie hapo kwanza waalimu wa hesabu kwa level zoote hasa shule za misingi wawe wamefaulu hesabu au kuwe na utaratibu wa ku train waalimu wa shule za misingi kufundisha masomo walioyabobea kama sekondari ilivyo.
Mwanafunzi yyt humudu somo katika hatua za MSINGI kabla ya kufika sekondari.
Nashauri sera iangaliwe upya.
Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa na chache nakataa kukubaliwa. Waalimu wa zamani wale wa UPE waliokuwa wameishia darasa la 5 au la 7 au la nane enzi hizo walikuwa ni waalimu wenye ufaulu wa juu kwenye mitihani yao ya darasa la 5 au la 7 au la 8. Nakukumbusha zamani kuferi la 7 au la 8 kulikuwa sio sana ila kukosa nafasi kwenda form one ndo kulikuwepo. Hivyo hawa waalimu wa UPE hawakuwa vilaza ila walikuwa waalimu VIPANGA MACHACHARI wa HISABATI ni kwamba walikosa nafasi kutokana na shule za sekondari kuwa chache na uwezo mdogo kudahili woote waliofaulu.Sasa, mbona miaka ya 90 kurudi nyumba walimu waliotufundisha walipata daraja la nne hilohilo na hali haikuwa mbaya kama miaka hii? Viwango vya ufaulu kwa waliokwenda kujifunza ualimu ngazi ya cheti ni kilekile toka zama hizo hadi leo. Tena kadiri miaka inavyosonga, ndipo unaweza kukuta mpaka division two na three wapo vyuo hivi vya ualimu ngazi ya vyeti.
Kwa taarifa yako, ualimu wa shule ya msingi wala hauhitaji division one. Ukweli ni kwamba elimu imeshuka, la saba wa mwaka 1985, si la saba wa leo. Form four wa mwaka 1980, si form four wa leo. Kwahiyo, japo wengi wa mtazamo wako mtabisha, lakini amini usiamini, mwalimu wa shule ya msingi wa miaka ya 80 hadi 90 (pamoja alikuwa division four) alikuwa mzuri kuliko mwalimu wa sasa mwenye shahada(digrii). Yani chukua fresh graduate wa leo, mpeleke shule ya msingi , anapigwa na yule division four miaka tajwa hapo juu. Mimi sitoshangaa graduate wa leo akishindwa kutafuta KIVIMBE cha duara.
Mpaka kufikia o level ni too late msingi ushaharibika unadhani hata ukijenga vipi jengo haliwezi kuwa imara limeharibiwa kwenye msingi.Mkuu na vipi kuhusu o-level
Sijui ulichokataa ni kipi. Mimi ninaona unazungumza hayohayo niliyoyaandika. Kwanza, si walimu wote walitoka UPE. UPE ilikuwa programu maalumu kujaza pengo la walimu baada ya kuwa na upungufu. Na kama mwenyewe unavyothibitisha, bado walikuwa wazuri (kwa kulinganisha na wahitimu wa sasa). Hii ndo hoja yangu,japo mimi nilikuwa najibu hoja ya kidato cha nne na division four ya 28 kama ulivyowasilisha hapo juu.Nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa na chache nakataa kukubaliwa. Waalimu wa zamani wale wa UPE waliokuwa wameishia darasa la 5 au la 7 au la nane enzi hizo walikuwa ni waalimu wenye ufaulu wa juu kwenye mitihani yao ya darasa la 5 au la 7 au la 8. Nakukumbusha zamani kuferi la 7 au la 8 kulikuwa sio sana ila kukosa nafasi kwenda form one ndo kulikuwepo. Hivyo hawa waalimu wa UPE hawakuwa vilaza ila walikuwa waalimu VIPANGA MACHACHARI wa HISABATI ni kwamba walikosa nafasi kutokana na shule za sekondari kuwa chache na uwezo mdogo kudahili woote waliofaulu.
Wale waalimu wa UPE akikufundisha hesabu mbinu anazotumia huwezi linganisha na hawa wa sasa. Mtu amepata division 4 ya 28 B.MATHS kapata F ya form 4 atafundishaje HISABATI shule ya msingi. Hapo ndipo msingi mbovu unajengwa