Aloyce Urassa
Member
- Jun 13, 2017
- 18
- 4
Nazielewa sana....na ndio maana nikaweza kufanya 'conclusion'..na sio kwamba nazielewa sana za watawala ila tu angalao zinalenga mambo ya msingiKama unashndwa kuelewa hoja za wapnzan afu unaelewa hoja za akina lusinde bas nakushaur umtafte doctor
Wao ndio wana roho mbaya kushawishi maandamano yanayojenga chuki badala ya maendeleo yanayoleta furaha na amaniHuwapendi kwa sababu ya roho mbaya
Na wapinzani hawaipendi ccm nadhan ngoma drooSwali hili limekua kwenye akili Yangu kwa muda mrefu ingawa Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa.Mara nyingi nimekua nikitizama hoja mbalimbali za wanasiasa na kujifunza mengi.Lakini nikiwa kama mdau wa amani na maendeleo chanya nimekua nikikerwa sana na hoja na jinsi ya uwasilishaji wa hoja za wapinzani.Mara nyingi zinatolewa katika hali ya hasira ambapo hata haikustahili kua hivyo,wskati mwingine ni za kuchochea na wakati mwingine nimegundua kwamba wapinzani hawapo tayari kuona mambo mazuri yakifanywa na serikali ya nchi yetu Bali wapo tu kutafuta kasoro ili wapate ya kuzungumza mbele ya watu.Hata kwenye kampeni wanashindwa kupata kura za waelewa kutokana na kutoa hoja za kuponda wengine badala ya kusema ni nini wao watafanya ili sisi wapiga kura tujaribu kulonganisha hoja.Pua maamuzi yanayofanywa Mara nyingi juu ya mambo ya msingi yanakua sio ya busara.Kwa mfano kutaka kufanya maandamano ili kutetea demokrasia.Walijaribu kushawishi vijana wengi ingawa baadae yaliahirishwa.Nilijaribu kujiuliza "Hivi Yale maandamani yalikua yalete demokrasia au yakuproove kwamba hakuna demokrasia???" Jibu lilikua ni kuproove hakuna demokrasia na kusababisha chuki zaidi kati ya wananchi na serikali yao.Ni kweli yapo makosa yanayofanyika na serikali lakini maamuzi mnayochukua dhidi yao yasiwe na adhari kwa wananchi.Wananchi wanahitaji basic needs zao( chakula,mavazi,makazi,malazi,amani) na kutazama binge live sio LA msingi sana wakati chakula hamna.Teteeni maslahi ya msingi kwanza!! Na msihalalishe jambo baya ili tu kuonesha udhaifu wa serikali....Kwa watawala teteeni ukweli na sio maslahi yenu binafsi.........NIWAOMBE RADHI NILIOWAKERA.
Kweli zamsingi sana.. Wapinzani hata mimi nawachukia sana ..angalia kwanza walivolitia taifa hasara kutuingiza kwenye mikataba mibovu.... Tumeibiwa rasilimali zetu hawa wapinzani wakichekelea....tumeibiwa mahela kibao kisa hawa wapinzani.. Mm nakuunga mkono mtoa mada tuungane kuwachukia hawa wapinzani.Nazielewa sana....na ndio maana nikaweza kufanya 'conclusion'..na sio kwamba nazielewa sana za watawala ila tu angalao zinalenga mambo ya msingi
Umewakilisha kundi lililotajwa na TWAWEZA-la wajinga! Kama kwenye mikutano ya kampeni ya wapinzani huwa husikii wakisema watafanya nini wakipewa madaraka basi wewe utakuwa ni mjinga tu, na kama huoni umuhimu wa Bunge Live lakini unaona umuhimu wa Makinikia Live, hakuna namna ni lazima utakuwa ni mjinga tu! Unadai wananchi wanahitaji basic needs ambazo kwa ujinga wako zinaishia kuwa ni chakula, mavazi, makazi ,malazi na amani-wala kwako uhuru wa maoni sio basic need. Mjinga ni yule anayedhani ana amani huku akiwa hayuko huru. Serikali ilipovuruga mfumo wa elimu iliangamiza taifa hili!Swali hili limekua kwenye akili Yangu kwa muda mrefu ingawa Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa.Mara nyingi nimekua nikitizama hoja mbalimbali za wanasiasa na kujifunza mengi.Lakini nikiwa kama mdau wa amani na maendeleo chanya nimekua nikikerwa sana na hoja na jinsi ya uwasilishaji wa hoja za wapinzani.Mara nyingi zinatolewa katika hali ya hasira ambapo hata haikustahili kua hivyo,wskati mwingine ni za kuchochea na wakati mwingine nimegundua kwamba wapinzani hawapo tayari kuona mambo mazuri yakifanywa na serikali ya nchi yetu Bali wapo tu kutafuta kasoro ili wapate ya kuzungumza mbele ya watu.Hata kwenye kampeni wanashindwa kupata kura za waelewa kutokana na kutoa hoja za kuponda wengine badala ya kusema ni nini wao watafanya ili sisi wapiga kura tujaribu kulonganisha hoja.Pua maamuzi yanayofanywa Mara nyingi juu ya mambo ya msingi yanakua sio ya busara.Kwa mfano kutaka kufanya maandamano ili kutetea demokrasia.Walijaribu kushawishi vijana wengi ingawa baadae yaliahirishwa.Nilijaribu kujiuliza "Hivi Yale maandamani yalikua yalete demokrasia au yakuproove kwamba hakuna demokrasia???" Jibu lilikua ni kuproove hakuna demokrasia na kusababisha chuki zaidi kati ya wananchi na serikali yao.Ni kweli yapo makosa yanayofanyika na serikali lakini maamuzi mnayochukua dhidi yao yasiwe na adhari kwa wananchi.Wananchi wanahitaji basic needs zao( chakula,mavazi,makazi,malazi,amani) na kutazama binge live sio LA msingi sana wakati chakula hamna.Teteeni maslahi ya msingi kwanza!! Na msihalalishe jambo baya ili tu kuonesha udhaifu wa serikali....Kwa watawala teteeni ukweli na sio maslahi yenu binafsi.........NIWAOMBE RADHI NILIOWAKERA.
Mkuu umemaliza kweli wapinzani wametuibia sana mikataba hovyoKweli zamsingi sana.. Wapinzani hata mimi nawachukia sana ..angalia kwanza walivolitia taifa hasara kutuingiza kwenye mikataba mibovu.... Tumeibiwa rasilimali zetu hawa wapinzani wakichekelea....tumeibiwa mahela kibao kisa hawa wapinzani.. Mm nakuunga mkono mtoa mada tuungane kuwachukia hawa wapinzani.
Swali hili limekua kwenye akili Yangu kwa muda mrefu ingawa Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa.
Mara nyingi nimekua nikitizama hoja mbalimbali za wanasiasa na kujifunza mengi.Lakini nikiwa kama mdau wa amani na maendeleo chanya nimekua nikikerwa sana na hoja na jinsi ya uwasilishaji wa hoja za wapinzani.
Mara nyingi zinatolewa katika hali ya hasira ambapo hata haikustahili kua hivyo,wskati mwingine ni za kuchochea na wakati mwingine nimegundua kwamba wapinzani hawapo tayari kuona mambo mazuri yakifanywa na serikali ya nchi yetu Bali wapo tu kutafuta kasoro ili wapate ya kuzungumza mbele ya watu.
Hata kwenye kampeni wanashindwa kupata kura za waelewa kutokana na kutoa hoja za kuponda wengine badala ya kusema ni nini wao watafanya ili sisi wapiga kura tujaribu kulonganisha hoja.
Pua maamuzi yanayofanywa Mara nyingi juu ya mambo ya msingi yanakua sio ya busara.Kwa mfano kutaka kufanya maandamano ili kutetea demokrasia.Walijaribu kushawishi vijana wengi ingawa baadae yaliahirishwa.
Nilijaribu kujiuliza "Hivi Yale maandamani yalikua yalete demokrasia au yakuproove kwamba hakuna demokrasia???" Jibu lilikua ni kuproove hakuna demokrasia na kusababisha chuki zaidi kati ya wananchi na serikali yao.
Ni kweli yapo makosa yanayofanyika na serikali lakini maamuzi mnayochukua dhidi yao yasiwe na adhari kwa wananchi.Wananchi wanahitaji basic needs zao( chakula,mavazi,makazi,malazi,amani) na kutazama binge live sio LA msingi sana wakati chakula hamna.
Teteeni maslahi ya msingi kwanza!! Na msihalalishe jambo baya ili tu kuonesha udhaifu wa serikali....Kwa watawala teteeni ukweli na sio maslahi yenu binafsi.........NIWAOMBE RADHI NILIOWAKERA.