Kwanini siponi amoeba

Kwanini siponi amoeba

Joined
Aug 8, 2025
Posts
6
Reaction score
4
Jamani nimekua nikifuatilia taarifa nyingi sana za jamii forum ila nilisoma taarifa za ndgu zangu walio teseka na ugonjwa wa amoeba mwaka 2012/2018 walivyokua wakielezea changamoto zao jamani na Mimi naombeni msaada Nina miezi miwili sasa nateseka ugonjwa wa amoeba nimetumia dawa kama flgly,tinidol,erthromiz,north,vumetry ,albendazol, na hata za kienyeji lakini sipati nafuu changamoto zinazo nisumbua ni mwili kubwa dhaifu na hisia ya mwili kua mgonjwa kiujumla ila sihisi maumivu sehem yoyote Ile mwanzoni nilipata choo lakini nusu kama na harisha mchanganyiko na damu ila kamasi kwa wingi nikila chakula mda huo huo napata njaa Hadi badae ndio naona nimeshiba Kuna mda na nilienda haja mda mwngine najisaidia kinyesi Cha aina ya mboga nilizokula yaani nikila mchicha najisaidia Hadi vipande vya mchicha mmeng'enyo wake sio kama siku zingine nimeeleza maelezo yasiyo ya kitalaamu naamin wataam watakuja kunisadia kwa ushauri au Nini nifanye
 
Mkuu mi nimesema Sana na hao bacteria ila Mimi tumbo lilikuwa linauma mfurulizo hadi nilivyopiga doze zifuatazo saizi naona Niko fresh labda kama Hali utarudi baadae. Tumia hizi
1. Heligo kit siku 14
Hii ni kwaajili ya bacteria wanaosababisha vidonda vya tumbo then nikianza hii. Hii kidogo ni ghari nakushauri nunulia K/Koo kwa bei ya jumla ni elfu 90
2. Ofloxacin and Ornidazole.
Hii ni kwaajili ya bacteria flan hivi
Naendelea vzr Sana saizi
 
Jamani nimekua nikifuatilia taarifa nyingi sana za jamii forum ila nilisoma taarifa za ndgu zangu walio teseka na ugonjwa wa amoeba mwaka 2012/2018 walivyokua wakielezea changamoto zao jamani na Mimi naombeni msaada Nina miezi miwili sasa nateseka ugonjwa wa amoeba nimetumia dawa kama flgly,tinidol,erthromiz,north,vumetry ,albendazol, na hata za kienyeji lakini sipati nafuu changamoto zinazo nisumbua ni mwili kubwa dhaifu na hisia ya mwili kua mgonjwa kiujumla ila sihisi maumivu sehem yoyote Ile mwanzoni nilipata choo lakini nusu kama na harisha mchanganyiko na damu ila kamasi kwa wingi nikila chakula mda huo huo napata njaa Hadi badae ndio naona nimeshiba Kuna mda na nilienda haja mda mwngine najisaidia kinyesi Cha aina ya mboga nilizokula yaani nikila mchicha najisaidia Hadi vipande vya mchicha mmeng'enyo wake sio kama siku zingine nimeeleza maelezo yasiyo ya kitalaamu naamin wataam watakuja kunisadia kwa ushauri au Nini nifanye

Pole kwa kuumwa.

Kuna vitu vya kuzingatia:
1: Historia ya kuumwa kwako haijasadifu sana mgonjwa wa Amoeba kama ni kutibiwa kwa eneo ambalo mtaalamu wa afya hawezi kupata vipimo/symptomatic treatment.

Mgonjwa wa amoeba hupata maumivu makali ya tumbo ya kukamua/kubana/cramping. Kwa siku za mwanzo utapata choo kingi cha brown na chenye harufu mbaya sana. Choo hiki huwa kinateleza sana kwa kuwa huwa na ute mwingi/does not stain the container.

Siku zinavyofuata: mgonjwa huendelea kupata maumivu makali ya tumbo na choo kiasi kidogo sana au ute peke yake ambao unaweza kuwa umechanganyika na damu. Mgonjwa wa amoeba wakati mwingine atajisikia kwenda haja kubwa na kushindwa kutoa choo chochote ingawa alijisikia kwenda kuharisha. Na hisia huonyesha kuwa unahitaji kuendelea kutoa choo kingi/tenesmus.

2: Katika maelezo yako sijaona sehemu ikieleza ulipima na kuelezwa kuwa unaumwa Amoeba.

Ni vizuri kutumia wataalamu wa maabara ili kuthibitisha ni nini hasa kinakusibu kwa kufanya vipimo vitakavyohiyajika kwa kadri unavyoumwa kuliko kutumia dawa zaidi.

3: Matumizi ya dawa kiholela
Umekuwa kwenye dawa za marudio kwa makundi yake:

A: Flaggyl na Ornidazole ni dawa za kundi moja ambazo hutibu pia Amoeba.

B: Nor T: ndani yake kuna Norflocaxin na Tinidazole. Ambazo ni dawa za kutibu Typhoid(Norfloxacin) na Amoeba(Tinidazole) ambayo bado ni lile kundi la Fraggyl na Ornidazole.

C: Kuhamia kwenye dawa nyingine ni kuusumbua mwili na madawa bila sababu. Nyingi zinabeba dawa zilezile na mwisho utajenga usugu au kusafisha tumbo lako kwa kuua wadudu rafiki wanaosaidia mmeng'enyo wa chakula. Hivyo, mfumo wa chakula kutofanya kazi yake vyema.
Mfano:
i)Heligo kit (Clarithromycin/Tinidazole) ni wale wale Erythromycin/Fraggyl/Ornidazole.
ii)Norfloxacin/Tinidazole ni walewale pia.

Kwa mazingira haya, nashawishika kusema tatizo lako la msingi laweza kuwa si Amoeba bali tatizo tofauti.

Utahitaji ushahidi mzuri ili kuhama kutoka aina moja ya dawa kwenda nyingine.

Wito:
1: Fika kituo cha afya.

2: Jieleze vyema kwa daktari kilichokutokea, dawa ulizotumia na unavyoendelea.

3: Fanya vipimo kwa kadri utakavyoelekezwa.

4: Fuata taratibu za tiba kwa kadri utakavyoelekezwa.

Matibabu mema.
 
Matibabu mema
 
Jamani nimekua nikifuatilia taarifa nyingi sana za jamii forum ila nilisoma taarifa za ndgu zangu walio teseka na ugonjwa wa amoeba mwaka 2012/2018 walivyokua wakielezea changamoto zao jamani na Mimi naombeni msaada Nina miezi miwili sasa nateseka ugonjwa wa amoeba nimetumia dawa kama flgly,tinidol,erthromiz,north,vumetry ,albendazol, na hata za kienyeji lakini sipati nafuu changamoto zinazo nisumbua ni mwili kubwa dhaifu na hisia ya mwili kua mgonjwa kiujumla ila sihisi maumivu sehem yoyote Ile mwanzoni nilipata choo lakini nusu kama na harisha mchanganyiko na damu ila kamasi kwa wingi nikila chakula mda huo huo napata njaa Hadi badae ndio naona nimeshiba Kuna mda na nilienda haja mda mwngine najisaidia kinyesi Cha aina ya mboga nilizokula yaani nikila mchicha najisaidia Hadi vipande vya mchicha mmeng'enyo wake sio kama siku zingine nimeeleza maelezo yasiyo ya kitalaamu naamin wataam watakuja kunisadia kwa ushauri au Nini nifanye
Amoeba ni miongoni mwa magonjwa masumbufu sana kupona dawa za Hospitali hazifanyi vizuri kwenye huo ugonjwa. Na ikitokea umetumia dawa za Hospitali jitahidi umalize dozi yote

Mara nyingi amoeba inawasumbua zaidi watu waliowahi kuitibu Kwa kutokumaliza dozi kwaiyo Huwa unarudi Tena na kuwa Kali zaidi

Ikiwa kwako pia imekurudia baada ya kuitibu option nzuri ni dawa ya asili/ mitishamba nakumbuka pia nimewahi kutibiwa Kwa dawa hiyo though sikumbuki ni dawa Gani

So ikiwa itapona jitahidi usitumie maji au chakula kisicho salama/kichafu
 
Hospitali walikwambia ni Amoeba? Ulivyoenda kupima.
Ndio niliambiwa ni amoeba na nilipima vipimo zaidi ya kimoja ukiwa ni pamoja na kisukari,HIV, UTI, pressure,wingi wa mafuta mwilin make pia Nina mwili kidogo zaid ya kilo 80 lakini niliambiwa tatizo ni amoeba
 
Hali hiyo ilinitokea mwanzoni kiongozi kiasi kwamba nikawa kama akili yangu inakubali kufanya chchte nikawa napiga Hadi picha ya choo changu ili nimuonyeshe Dr ,make nilianza kuhisi kichefuchefu ,mwili ukawa unachoka ,haja laini sana na inayoteleza mnoo na mabadae maji maji pia kama awamu nne hivi imetokea nilienda haja havitoki naishia kupata kitu kama hiki
IMG_20250702_192234_436.jpg
 
Mkuu pole sana kwa changamoto, naomba nijue unaishi mikoa ya Kanda ya ziwa au?? kwa haraka haraka tatizo la amoeba lipo sana Kanda ya ziwa sijajua ni kwa nn hii kitu inasumbua sana maeneo ya ziwa wataalamu waje watuambie, binafsi naishi mkoa wa mara before nilikuwa naishi dar es salaam nipo kikaz huku but tangu nifike huku musoma nimekuwa nikisumbuliwa sana na huu ugonjwa kiasi kwamba mpk nilichoka sasa kutumia madawa, ivyo ilinibidi nianze kutumia maji ya kisima au chemchem nashukur kwa sasa tatizo la amiba limeisha
 
Asante nipo mara pia wilaya bunda
 
Asante nipo mara pia wilaya bunda
Sawa mkuu, jitahidi uwe unatumia maji ya chemchem au kisima ni mazur tangu nimeanza kutumia maji ayo amiba imekata kabsa alafu kingine kuna dawa nzuri sana ya majani fulan nilielekezwa dawa nzuri sana ya amiba nitapiga picha alafu nikutumie utafute unywe ni mazur sana
 
Hali hiyo ilinitokea mwanzoni kiongozi kiasi kwamba nikawa kama akili yangu inakubali kufanya chchte nikawa napiga Hadi picha ya choo changu ili nimuonyeshe Dr ,make nilianza kuhisi kichefuchefu ,mwili ukawa unachoka ,haja laini sana na inayoteleza mnoo na mabadae maji maji pia kama awamu nne hivi imetokea nilienda haja havitoki naishia kupata kitu kama hikiView attachment 3437170
Mkuu pole kwa maradhi yako ya amoeba kama bado hujapona nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona.
 
Back
Top Bottom