DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ni kwa sababu mpaka sasa Simba inaacha wachezaji ambao hawakuwa na impact kwa timu, tena wengine walikuwa nje ya timu kwa mkopo wakati Yanga mpaka sasa inaacha wachezaji ambao walikuwa tegemeo. Ndiyo maana hauoni hata humu mtu akileta nyuzi za hao wachezaji wa Simba wanaoachwa maana siyo "habari" na wanasimba hawapendi kufosi attention za kijinga.Jana mchana simba umetangaza kuachana na wachezaji.
Usiku Yanga wametangaza kuachana na mchezaji.
Je Kwann habari ya THENK YU ya Yanga ndio inayo trend mpaka siku ya leo kuliko ile ya mchana?
Hiyo ndio hoja yangu kwa lugha nyepesi.
Una maaanisha Yanga wana "upgrade" kikosi chaoNi kwa sababu mpaka sasa Simba inaacha wachezaji ambao hawakuwa na impact kwa timu, tena wengine walikuwa nje ya timu kwa mkopo wakati Yanga mpaka sasa inaacha wachezaji ambao walikuwa tegemeo. Ndiyo maana hauoni hata humu mtu akileta nyuzi za hao wachezaji wa Simba wanaoachwa maana siyo "habari" na wanasimba hawapendi kufosi attention za kijinga.
Simba kuna utulivu, upande wa pili kunafukuta moshi, tofauti iko hapo. Kwenye utulivu hakuna kelele.
Hilo unasema wewe, hoja yako si unauliza kwa nini habari fulani zinatrend kuliko zingine? Unataka habari ya kuachwa kwa Nelson Okwa iwe na uzito sawa na kuachwa kwa Morrison? Mbona ya Ambundo haikutrend?Una maaanisha Yanga wana "upgrade" kikosi chao
wakati Simba wanahangaika "KUREPLACE"..?
huo mvuto utatoka wapi? kama unazungumzia mvuto wa vijiweni sawa.. wanaofuatilia soka vizuri wala hawana muda na simba na yangaNimezungumzia suala la MVUTO.
Kwanini habarinza upande fulani zinapenddelewa sana na watumiaji wa habari kuliko habari za upande wa pili..?
Hizi data ni kutokana na single special event.Sijui utaweza maana ya interraction.
Anyway ngoja niiache tu hapa kama utapata ugumu wa tafsiri utawauliza wenzako.View attachment 2664803
Ila umeelewa sema tuu hujisikii...Haaata hujaeleweka unaongelea nini.
Mara followers mil 5...
Mara wachezaji wa mkopo....
[emoji23][emoji23]
Jibu zuriNi kwa sababu mpaka sasa Simba inaacha wachezaji ambao hawakuwa na impact kwa timu, tena wengine walikuwa nje ya timu kwa mkopo wakati Yanga mpaka sasa inaacha wachezaji ambao walikuwa tegemeo. Ndiyo maana hauoni hata humu mtu akileta nyuzi za hao wachezaji wa Simba wanaoachwa maana siyo "habari" na wanasimba hawapendi kufosi attention za kijinga.
Simba kuna utulivu, upande wa pili kunafukuta moshi, tofauti iko hapo. Kwenye utulivu hakuna kelele.
Pamoja na kuwa na Followers Mil 5 ila habari zao zikipostiwa hata likes 5000 hazifiki. Hao followers wa nini?Nenda page ya Simba instagram...imegonga 5million followers...club yenu ina ongelewa kwa kuwa ilikua inadanganya uma...kumbe wachezaji wa kikongo walikuwepo kwa mkopo...
Social attention umezionaje/umezipimaje ikiwa mada zinawasilishwa kwa njia ya redio au Tv? Unajuaje kama mm ninasikiliza hzo habari zinazoongelewa au wangapi wanasikiliza?...kuhusu Simba kuwa na followers hao milioni 5 ni attention waliyonayo hao mafollowers kwa Timu...Pamoja na kuwa na Followers Mil 5 ila habari zao zikipostiwa hata likes 5000 hazifiki. Hao followers wa nini?
Mleta mada amesema Social attention au hujamuelewa?
Likes, comments nkSocial attention umezionaje/umezipimaje ikiwa mada zinawasilishwa kwa njia ya redio au Tv? Unajuaje kama mm ninasikiliza hzo habari zinazoongelewa au wangapi wanasikiliza?...kuhusu Simba kuwa na followers hao milioni 5 ni attention waliyonayo hao mafollowers kwa Timu...
hewaaa umefika patamu sasa.Ndio maanaa nika quote
"Sijui kama utaweza kuelewa maaana ya interaction"
Nafahamu vizuri vichwa vyenu namna vilivyo vitupu.
Shilingi ngapi?Kwanini habari za Yanga zinauza zaidi kuliko za upande wa pili?