Kwa hiyo wewe ulitaka uone mic 20 zimejazana hapo ndiyo ungefurahi? Hiyo habari siyo kubwa ndiyo maana hauoni simba wameisukuma sana. Kama ni udhamini wa U20 press zake zimeshafanyika zaidi ya 2 na hiyo ya leo hata kwenye platform za Simba hawajairipoti.Kama kipindi ambacho Simba haizungumzwi kwenye midomo ya watu na vuombo vya habari basi ni katika kipindi hiki...haswa zaidi katika mwaka huu.
Zipi sababu zimepelekea Yanga SC kuwazidi Simba SC kwa mbali zaidi kwenye "media and social attention"?
Kuna habari ambazo sasa zinatolewa na klabu yao lakini zinaonekana hazina mvuto kushinda zile za mahasimu wao wa upande wa pili...? Yaani habari inaweza isitrend zaidi ya masaa 4 lakini zile za upande wa pili zina trend siku nzima na siku ya pili raia wana amka nazo.
Kwanini habari za Yanga zinauza zaidi kuliko za upande wa pili?
Hivi leo mchana wameitisha press conference kuhusu udhamini wao mpya wa timu ya vijana, lakini cha ajabu hakuna vyombo vya habari vilivyo jitokeza zaidi ya media house 3 ambazo pia ni za youtube tu. Ayoma TV, Ayo TV na Mpenja TV.
Je pengo la Barbara linajidhihirisha wakati huu? Je viongozi wao waliopo wanashindwa kufanya kazi kwa mikakati kama wenzao wa Yanga SC?
Wafanye nini ili wafikie levels za Yanga SC?View attachment 2664681
Uchawi tena?Scars na OKW BOBAN SUNZU Wanasema ndo njia ya kushinda kombe la Super League,mganga amewashauri wasiwe wanaonekana kama kwenye media Ili kutokuipunguzia dawa ya ushindi nguvu
Sio tu habari hiyo.Kwa hiyo wewe ulitaka uone mic 20 zimejazana hapo ndiyo ungefurahi? Hiyo habari siyo kubwa ndiyo maana hauoni simba wameisukuma sana. Kama ni udhamini wa U20 press zake zimeshafanyika zaidi ya 2 na hiyo ya leo hata kwenye platform za Simba hawajairipoti.
Hivi kweli umeuliza "wafanye nini ili wafikie levels za Yanga SC?"
Labda ni kwa sababu hazikufurahishi ukizingatia wewe si mshabiki wa Simba.Sio tu habari hiyo.
Habari zao zote kwa ujumla yaani zimeonekana kupwaya kwenyw macho na masikio ya wakulungwa.
Sikubaluani na huu ujinga kama sio upumbavu kabisaWamrudishe manara tu
Mana jamaa alikuwa anajua kuinogesha simba
Na akianza kuinanga YANGA kiutani yaan mpk mwanayanga mwenyewe unapoga SONYO la kukubari
Zirudi zama zile manara VS j muro
Mwenyekiti simuelewi hata kidogo.Kama kipindi ambacho Simba haizungumzwi kwenye midomo ya watu na vuombo vya habari basi ni katika kipindi hiki...haswa zaidi katika mwaka huu.
Zipi sababu zimepelekea Yanga SC kuwazidi Simba SC kwa mbali zaidi kwenye "media and social attention"?
Kuna habari ambazo sasa zinatolewa na klabu yao lakini zinaonekana hazina mvuto kushinda zile za mahasimu wao wa upande wa pili...? Yaani habari inaweza isitrend zaidi ya masaa 4 lakini zile za upande wa pili zina trend siku nzima na siku ya pili raia wana amka nazo.
Kwanini habari za Yanga zinauza zaidi kuliko za upande wa pili?
Hivi leo mchana wameitisha press conference kuhusu udhamini wao mpya wa timu ya vijana, lakini cha ajabu hakuna vyombo vya habari vilivyo jitokeza zaidi ya media house 3 ambazo pia ni za youtube tu. Ayoma TV, Ayo TV na Mpenja TV.
Je pengo la Barbara linajidhihirisha wakati huu? Je viongozi wao waliopo wanashindwa kufanya kazi kwa mikakati kama wenzao wa Yanga SC?
Wafanye nini ili wafikie levels za Yanga SC?View attachment 2664681
"Maidhirio" ya mwaka gani mliwazidi??1. Ukienda social Media Simba inaongoza kuwa na MASHABIKI wengi.
2. Maidhirio ya Viwanjani Simba inaongoza.
3. Lete MICHANGO ushindanishe Simba na yanga. Bado Simba yupo mbali sana anaongoza.
USIFANANISHE SIMBA NA KITU CHOCHOTE.