Mi nachozungumzia zinazouzwa humu ndani mbn bei ni kitonga je zinachangamoto zipiMkuu Subaru Legacy haina resale value ndogo..kama hauujui nenda umvvs.tra cheki legacy ya 2005 na 2006 ushuru wake unachezea wapi..na legacy nyingi zinazouza ni za humu humu ndani yenye recent registration utaikuta ni ya 2003, Toyota Altezza inanunuliwa na mtu mwenye mapenzi nayo....
Gari yoyote ukiona inauzwa Tz ikiwa kwenye hali nzuri halafu bei imezubaa ujue tatizo ni wese/zutu/ mafuta yamekuwa mzigo mzito kwa muuzaji!!Mi nachozungumzia zinazouzwa humu ndani mbn bei ni kitonga je zinachangamoto zipi
Legacy za kuanzia 2009.. 2.5L Turbo huwa nazielewa sanaMkuu Subaru Legacy haina resale value ndogo..kama hauujui nenda umvvs.tra cheki legacy ya 2005 na 2006 ushuru wake unachezea wapi..na legacy nyingi zinazouza ni za humu humu ndani yenye recent registration utaikuta ni ya 2003, Toyota Altezza inanunuliwa na mtu mwenye mapenzi nayo....
Unazungumzia wewe zina usajili upi? Halafu ujue Tanzania gari ikiwa na 2000CC watu wanazikimbia sana...Mi nachozungumzia zinazouzwa humu ndani mbn bei ni kitonga je zinachangamoto zipi
Hayo ma subaru yana cc2000 afu full time four wheel drive so wese kdg kipemgele ka ushazoea ISTUnazungumzia wewe zina usajili upi? Halafu ujue Tanzania gari ikiwa na 2000CC watu wanazikimbia sana...
Acha uoga..comfortability zone ya subie acha.Hayo ma subaru yana cc2000 afu full time four wheel drive so wese kdg kipemgele ka ushazoea IST
UmenenaAcha uoga..comfortability zone ya subie acha.
Mkuu hii subaru legacy kuagiza nje mpaka inafika hapa bongo jumlisha na ushuru, ni kiasi gani?Aisee nina subaru legacy hapa, huu ni mwaka wa pili sijawahi jutia maamuzi yangu. Kuhusu wese ni kawaida kulingana na matumizi yako tu.
Hii gari ni ya kwanza kwangu na nimeiabuse sana lakini bado naikubali mno. Safari ya Dar to Geita huwa siwazi, ukiachilia mbali rough road za huku vijijini Mbogwe.
Subaru will always be my choice.
Inafika 17m....ushuru huwa ni balaa Mkuu..nje kuagiza siyo tabuMkuu hii subaru legacy kuagiza nje mpaka inafika hapa bongo jumlisha na ushuru, ni kiasi gani?
Nipo kwenye process ya kuchagua gari mkuu, ngoja niifatilie zaidi mkuu naimani ni gari nzuri sanaInafika 17m....ushuru huwa ni balaa Mkuu..nje kuagiza siyo tabu