Kwanini Pi Coin Haijalistiwa na Binance

mim nimepigwa aisee nilinunua kipindi ipo moto 2.6 nikiamini kwa moto ule mpaka mwezi my lazima itakuwa usd 5 matokeo yake ndio hivyo unavyoona mpaka sasa
Pole sana ila elimu ni muhimu
 
Kuna red flags nyingi juu ya hii coin. Weneye shobo nayo ni Africa na nchi za latino america na huko asia nchi kama thailand, indonesia, nchi ambazo mara nyingi ni victims wa ponze scheme kama one coin.
Tuendelee kusubiri maajabu ya pi coin kuipita thamani bitcoin mazee
 
Shida ni wafuasi wao sijui wamejazwa nini huwaambii kitu kuhusu Pi yaani unaweza pigwa mawe
 
Nilikuwa mmoja wa walionunua iliposhuka mpaka $0.6 ila ilivyopanda tena nikauza nikatoa hela zangu nikapeleka Binance nikauza maana coin za KUHODL zinajulikana
mtaalam hebu tujuze coin za kuhold ni kama zipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…