mwakabembe
Member
- Apr 27, 2012
- 11
- 0
Inavyo onekana watu wengi hawajui maana ya nguvu za kiume. huenda hata wewe hujui. ndiyo maana wengine wanavuka mstari na kusema hata wanawake wanazo nguvu hizo.
wengi huchanganya wanashindwa kutofautisha kati ya HISIA NA UWEZO WA KUFANYA MAMBO na nguvu zenyewe za kiume.
kwa sababu hiyo wengi wanazani uwezo wa kukwea mlimani mara nyingi zaidi, na jamaa kusimama kwa muda mrefu zaidi basi anazo nguvu za kiume kumbe siyo. unaweza kuwa hivyo na bado ukawa naupungufu wa nguvu hizo. hii imewapelekea wengi kununua DAWA AMBAZO HUFANYA KAZI KAMA VIAGRA, WAKIDHANI WANAONGEZA NGUVU ZA KIUME. KUMBE NDIYO WANAJIMALIZA KABISA.
POLENI WOTE JARIBU KUTAFUTA UKWELI ZAIDI USIJE KUJIUA.
JE WANAWAKE WANANGUVU ZA KIKE? KAZI YA NGUVU HIZO NI NINI?
biologist
Hana lolote, blabla dot com= Pumba Express!!eeeeeh lete mambo mkali
Hana lolote, blabla dot com= Pumba Express!!
Msafara wa Mamba..........Kama anapoint hivi...
Jamaa haeleweki,labda anataka ku justify kuwa ana Nguvu za Kiume ilhal hampi kitu inatakiwa wife/gf wake na maana mchovu,one minute man na lazima agongewe mwaka huu...Msafara wa Mamba..........
Inavyo onekana watu wengi hawajui maana ya nguvu za kiume. huenda hata wewe hujui. ndiyo maana wengine wanavuka mstari na kusema hata wanawake wanazo nguvu hizo.
wengi huchanganya wanashindwa kutofautisha kati ya HISIA NA UWEZO WA KUFANYA MAMBO na nguvu zenyewe za kiume.
kwa sababu hiyo wengi wanazani uwezo wa kukwea mlimani mara nyingi zaidi, na jamaa kusimama kwa muda mrefu zaidi basi anazo nguvu za kiume kumbe siyo. unaweza kuwa hivyo na bado ukawa naupungufu wa nguvu hizo. hii imewapelekea wengi kununua DAWA AMBAZO HUFANYA KAZI KAMA VIAGRA, WAKIDHANI WANAONGEZA NGUVU ZA KIUME. KUMBE NDIYO WANAJIMALIZA KABISA.
POLENI WOTE JARIBU KUTAFUTA UKWELI ZAIDI USIJE KUJIUA.
JE WANAWAKE WANANGUVU ZA KIKE? KAZI YA NGUVU HIZO NI NINI?
biologist
Perepeche JazzBandHana lolote, blabla dot com= Pumba Express!!