Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 198
- 361
Mwigulu ni kinyesi katika kauli na kiburi na dharau na mdomo wenye matamshi na jeuri ya uumbwa, kila mmoja Abebe mzigo wake, Huyu hasira zetu kwake sio tozo Bali alichonena na hatasamehewa mshamba huyu. Labda aombe radhiTangu Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuzungumzia suala Tozo la miamala naona kampeni kubwa inafanyika ndani ya CCM kutaka kumfukuza uwaziri Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kwa kile kinachoonekana kusababisha matatizo makubwa kwa wananchi.
Kwanini iwe Mwigulu Nchemba peke yake, Je ni kweli katika Serikali hii ni Waziri Mwigulu pekee aliyefanya mambo mabaya na kusababisha wananchi kupata shida? Kwanini wengine hawatajwi kuna nini?
Kwanini Januari Makamba hatajwi?
Kwanini Hussein Bashe hatajwi?
Kwanini Nape Nnauye hatajwi?
Auhao Wizara wanaziziongoza hazijawakosea watanzania?
Halafu watanzania wananmchekea mbweha kama huyoHuwezi kuwaambia Ndugu zako, Wadogo zako, Kaka zako, Shangazi zako, Wazee wako, wahamie Burundi kwasababu tu eti umeamua.
Mwigulu ajitathmini, kiburi kimemjaa sana.
Huyo sio wa kumchekea aoneshwe mlango wa kutokea.Halafu watanzania wananmchekea mbweha kama huyo
Huyo hatoki ndie anaokoa uchumi wa hii serikali ya sasa bila yeye ingeanguka muda sana, He has guts ila guts zenye kinywa chenye stahiki ya assassins, anapaswa afanye repent ya kinywa especially when addressing the holly general publicHuyo sio wa kumchekea aoneshwe mlango wa kutokea.
Jamaa ana roho mbaya sana, hivi alishindwa hata kusema tuende Denmark, Norway, Canada n.k.Labda kama hua husomi humu, Mawaziri wote hutajwa humu, wengine kwa mabaya wengine kwa mazuri, lakini Mwigulu kwa kauli yake ya "HAMIENI BURUNDI IMEWAUDHI SANA WATANZANIA"
Hiyo Wizara hata akipewa Zezeta ataiweza tu.Huyo hatoki ndie anaokoa uchumi wa hii serikali ya sasa