Tukio limeshapita na ujue ilitosha kuifanya jamii ione mnajua cha kufanya, swala la kutekeleza sii lazima, ukibisha utakula virungu.
Jamaa yao kisha teua mpaka ikitokea nafasi imeachwa wazi usishangae wakakosa miongoni mwao wakamteua hata mrema wa kiraracha.