Kwanini mh Nape aongelei swala Tikets alizosema mh waziri mkuu?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Simbaya kukumbushana kwa herI kumsaidia mh RAIS

MH WAZIRI MKUU alipoingiaa alisema atajitahidi kukusanya kodi NA mojawapo n kuhakikisha wanamichezo wanatumia electronic tkts

MPAKA leohii mh Waziri husika sijamsikia kwahili akiomgelea je anampangogani kumsaidia mh RAIS Kodizisipotee kiukweli tunapoteza pesanyingi sana magetini KWENYE michezo mbalimbali zzamu yawananchi kujua tunaitaji kulipa kodi

SWALA HILI SIO LA KUMWACHIA MH RAISI WA TFF ANAITAJI MSAADA WENU ZAIDI
 
Tukio limeshapita na ujue ilitosha kuifanya jamii ione mnajua cha kufanya, swala la kutekeleza sii lazima, ukibisha utakula virungu.

Jamaa yao kisha teua mpaka ikitokea nafasi imeachwa wazi usishangae wakakosa miongoni mwao wakamteua hata mrema wa kiraracha.
 
Hihiiiiiii asubiri utenguzi huyoo mrema
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom