Kwanini Mbowe, Lema, Dr Slaa na Mnyika?


Imekuchukua mda mrefu sana kung'amua anachofanya HAMY-D. Ila walau umefahamu sasa na nadhani mda si mrefu huyu jamaa atahama kambi na kuwaacha muendelee wenyewe kuvuana magamba

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hamada, sijui Kimada........wewe ni muongo sana , huyo Lema umemuona wapi kwenye katiba? Mbona husemi ukweli .? Lissu, Marando, ndio Lema?
 
Umefanya makusudi au umepitiwa kutomtaja TUNDU LISSU na MABERE MARANDO kwenye makamanda wanaoihenyesha CCM mikoani??!
Kama ni makusudi, ni kwa sababu PHILOSOPHICAL reason behind your topic ni kupata wachangiaji watakaosema "ni kwa sababu uliowataja ni WACHAGGA"???
Kama ni bahati mbaya, nimekusamehe kwa kutokujua kwamba DIVISION OF LABOUR IS A SCIENTIFIC FACT, ambacho kukifuata huwa lazima....
Mwisho, maamuzi ya CHADEMA ni maamuzi yao kama TAASISI huru!
Ni upuuzi kuulizia kwa nini NAPE awe msemaji wa CCM wakati ndo kazi aliyopewa!
 
Haujui Ulichokiandika laiti kama ungejua usinge andika kwa mtazamo huo maana hata cha msingi hapo sikiioni ebu kua makini na unacho kiandika sisi tunao hudhuria mikutano yao ndio tunajua kwanini baadhi yao hawaoonekani kwenye hiyo mikutano
 
kinacho takiwa nikukusanya maoni si nani akusanye maoni magamba mumesoma shule zipi mbona hamna hoja zenye logic
 
Kwa mujibu wa ratiba ya CHADEMA ya shughuli nzima ya ukusanyaji wa maoni, wafuatao ndio vinara wa shughuli hiyo kote nchini;

1. Freeman Mbowe (Hai)

2. Godbless Lema (Arusha mjini)

3. Dr Slaa (null)

4. John Mnyika (
.

Kwani kisusio, kimtori na kiloriti kinaliwa wapi?
 
Hamida nawe! Huna mengine ya kuandika! Unakera sana wewe... Unachojaribu kuchonganisha unafeli!!!
 
Kama wewe ni mwanachama wa Chadema, kaulize swali hilo katika vikao halali vya chama. Kama si mwanachama acha kuingilia mambo ya watu wengine kwa sababu wana taratibu zao za utendaji. Isitoshe, hakuna hata mmoja wa wale uliowataja ambaye amelalamika. Sasa wewe unasema kama nani? Nilishasema tena, wewe unahitaji kupimwa akili. Lakini naomba unijibu swali hili: KESHO UNA MADA GANI INAYOHUSU CHADEMA, MBOWE, SLAA AU MYIKA? Maana hawa ni wanaume ambao wanaokuwasha sana. Na Chadema kinaonekana kama chama dume. Sijui CCM kinajionaje, jike au sijui nini, maana haiachi kuitajataja Chadema. Ni kama vile mwnamke aliyeachwa na mume asivyoweza kuacha kumtaja mwanamume aliyemwacha. Endesheni siasa, achaneni na uzushi wa majungu.
 
Hao uliowataja ndiyo wamiliki wa Chadema.
Ndiyo maana chama hicho kinatishia usalama na uhai wa CCM. Ndiyo maana hampati usingizi. Ndiyo maana wote mnaweweseka. Mmiliki wa chama ana uchungu zaidi na mali yake kuliko mamluki. Upo hapo?
 

Swali langu lipo hivi, je kama wangekuwa hao unaowasema ungekuwa unetumia kigezo kipi kama ndio wanaofaa na kila mtu ndani na nje ya Chama ataridhika na maamuzi hayo? Je huamini katika utaratibu wa kitaasisi kama Ben wa Saa Nane alivyotangulia kukueleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…