Kwanini Mbowe, Lema, Dr Slaa na Mnyika?

Lusinde!!! Ha ha ha a, kumbe na Lusinde siku hizi yuko CDM. Ama ummekosea kwa kuwahi kuandika ili ujipatie B7 kwa siku kwa wingi wa post?
 
technical team ipo behind the scene, sasa wewe unakurupuka unafikiri siasa CDM inafanywa kama Lumumba eeh?
 
Tunaomba mtupe Nape na Mwigulu nao watusaidie..
 
Wewe kama una akili basi umeziokota katika kuvuna maembe, Na ninafikri wewe HAMY-D IQ yako ni 0% kwani mtu mwenye kitu kichwani asingekuwa anaandika vitu vya ajabu. lakini wakati mwingine labda huna makosa kwani book 7 unaitaka kwa nguvu yote ili labda upate mtaji wa kuendeleza biashara yenu haramu. Chukua muda uwashauri wenzako ambao wamekaa kimya wakti nchi inapoteza heshima yake. Sasa utamwambia nini marehemu Mwal Nyerere kama angekuwa anarudi. Nyie ni wanafika kabisa. Kawaulize watoto wa Mwl wanavyo wafikiria nyie magamba na wanafiki pamoja na uchu wa utajiri wa haraka na wabila kuufanyia kazi. Kua bwana uwe kama watu wazima!
 
Porojo za naibu bara!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Vipi mmeacha utaratibu WA kuitana masala?
 
Kikao cha Bukoba kilikosea kuwafuta uanachama wale madiwani!Nafikiri wangekufukuza wewe kwanza ilitubaki na watu wenye fikra mpya na zenye tija kwa chama chetu.kuliko aibu hii tunayoipata kwa sababu ya fikra zako butu zisizokisaidia chama kujiimarisha katika wakati huu mgumu wa ushindani wa hoja!
 

Hizi kimpira zinaitwa mind games, kwamba kama ukiwapanga fulani na fulani mtatufunga, vinginevyo hamtufungi (kumbe unaowataja ndo uchochoro wenu).
 
CDM mbona hawadanganyiki! Na haikuhusu, na usimfundishe samaki kuogelea ye Ndo maisha yake hayo.
 
Huyu nae niwakupuuza tu kama john tendwa kwani nimegundua ukoo wote akili zao sawa
 
mawazo yako ni ya kimagamba na hayo ndio mawazo ya magamba kwamba baadhi ya watu ndio wenye uwezo wa kufikiri. kwa chadema ni tofauti kila kiongozi ana uwezo na sisi wana chadema tunaona yanayofanyika ni sawasawa
 
Hao uliowataja ndiyo wamiliki wa Chadema.
 

Wewe ulivyo tu ni matatizo! Kila mara unaponda watu haohao ambao sasa unasema ni majembe. Hivi wewe ni binadamu wa aina gani? Hivi chama chako unakisaidiaje? Hivi Chadema inakukosesha raha kiasi hicho hata unashindwa kujizuia? Kaombe uwe mshauri na mratibu wa shughuli za chadema, tumechoka!!!
 
Wewe HAMY-D ni mwanaCCM mwenzangu humu mtandaoni ila kutwa unaleta mada za ajabu ajabu kuhusu mwenendo wa siasa ndani ya CHADEMA, sasa sijui unalipwa na CHADEMA au unaipenda sana CHADEMA kuliko wanaCHADEMA wenyewe?

Kanuni ni moja tu, adui yako mwombee njaa, sasa kama unahisi CHADEMA wameyaacha majembe ya maana na kutumia vishoka, kwanini uumie wewe mwanaCCM?
 
Mbona una kihere here kama mkojo wa asubuhi? Bukoba nyumba imeungua huko kaokoe jahazi

Mbona jamaa kauliza swali zuri afu mnakuja juu badala ya kujenga hoja,ndo mana mi hadi leo naamin chadema chama cha wahuni kwa staili iyo. Jibu hoja kwa hoja asa neno hayakuhusu lina mana gani kwenye maendeleo?. Au ndo msingi wa chadema umejengwa juu ubabe? Think big bro usiwe mlevi wa vyama. Si CCM wala CHADEMA lazima tuhoji kwenye u2mbo
 

Kuna wakati nashawishika kuamini kua unakipenda sana hiki chama. Na unajitahidi kutumia mda mwingi kuandika dhidi ya chadema kupitisha maoni yako japokuwa wengi wametafsiri kama chuki dhidi ya CDM. Sasa naanza kukuelewa. Kumbe chuki yako ni aina ya kupenyeza maoni yako ya nini kifanyike ndani ya chama hiki ili kiwe bora zaidi ya chama cha madalali.
Kuanzia sasa ntakuwa nakusoma kiumakini ili nipate kujua maoni mapya nini kifanyike kiufasaha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…