Hiyo ni huduma/service risiti lazima.Ukipeleka kutengeneza cm kwa fundi ..huwa unapewa na rist ya efd pia!?......afu unatakiwa uelewe unaponunua mashine au spare ya efd ndo labda uombe rist .....sasa kwa mfano mashine imejiblock unataka fundi aiunblock unataka akupe risti!?
Yaaan umeongea kama shoga la Kinigeria bob risk.............. kugombea haki za wanawake akati yeye shoga.........unaju ulichoandika au unafata ushabiki maandazi punga weweSasa ukiona hawataki kukupa risti c rekebisha mwenyew ....afu tatizo mnaponunua mashine huwa hamuelewi contract iliyopo .... mashine kikawaida service huwa ni free pale unaponunua ila spare ndo unatakiwa kununua naupewe rist .... issue inakuja ww ukipeleka ifanyiwe service means biashara yako isimame ....afu usitegmee jamaa adili na mashine yako unayotaka akufanyie free aache ambaye atamtoa ya maji .....sehem nyingine tumia akili ya kawaida ....afu sio Kila huduma unapewa rist .,.....unatakiwa uelewe hivyo ndo maana hata TRA wanajua sehem gani zinatakiwa kukusanya mapato kwa muda huo....shida yenu huwa mnakurupuka kununua bla kusoma mkataba wa manunuzi unavyosema
pale wanauza huduma na spare ........nimeenda kununua spare na huduma.........si natakiwa kupewa risiti....... sasa hapa kosa liko wapi.......sababu mbona mimi tra wananidai niwe na risiti uku hawajanipa mtaji wala kodi ya pango.......na wanasisitiza kabisa nitoe risiti la sivyo milioni 3 zitanihusu kama fine..........umechangia kishule shule au kupunguza tu hiyo shibe yako ya kipoloUkipeleka kutengeneza simu kwa fundi ..huwa unapewa na rist ya efd pia!?......afu unatakiwa uelewe unaponunua mashine au spare ya efd ndo labda uombe rist .....sasa kwa mfano mashine imejiblock unataka fundi aiunblock unataka akupe risti!?
Ile Kodi ya huduma unaiona ipo sawa?? Au umejibu kishabiki zaidi.......mtaji ujipe mwenyewe na baadaye watu waje kuchukua Kodi ya huduma ........kubabekiUkipeleka kutengeneza simu kwa fundi ..huwa unapewa na rist ya efd pia!?......afu unatakiwa uelewe unaponunua mashine au spare ya efd ndo labda uombe rist .....sasa kwa mfano mashine imejiblock unataka fundi aiunblock unataka akupe risti!?
Aisee... mbona unaniangusha mkuu? Kwamba service haina risiti? Hospital unavyoendaga kumuona specialist ukilipia si unapewa receipt? Ile si huduma umelipia? Receipt ni lazima. Si jambo geni ama la kushangaza ni vile tunajiendeshaga kienyeji. Ila suala la kodi ndo silipendiiUkipeleka kutengeneza simu kwa fundi ..huwa unapewa na rist ya efd pia!?......afu unatakiwa uelewe unaponunua mashine au spare ya efd ndo labda uombe rist .....sasa kwa mfano mashine imejiblock unataka fundi aiunblock unataka akupe risti!?
Usiku mwema mkuuSasa ukiona hawataki kukupa risti c rekebisha mwenyew ....afu tatizo mnaponunua mashine huwa hamuelewi contract iliyopo .... mashine kikawaida service huwa ni free pale unaponunua ila spare ndo unatakiwa kununua naupewe rist .... issue inakuja ww ukipeleka ifanyiwe service means biashara yako isimame ....afu usitegmee jamaa adili na mashine yako unayotaka akufanyie free aache ambaye atamtoa ya maji .....sehem nyingine tumia akili ya kawaida ....afu sio Kila huduma unapewa rist .,.....unatakiwa uelewe hivyo ndo maana hata TRA wanajua sehem gani zinatakiwa kukusanya mapato kwa muda huo....shida yenu huwa mnakurupuka kununua bla kusoma mkataba wa manunuzi unavyosema