Habarini wakuu. Natumaini mko poa sana, narudi kwenye hoja yangu. Hivi kwanini haya makampuni yanayo dili na kurekebisha mashine zile za EFD wenyewe sio watoa risiti?
Nashangaa maana tunawapelekea mashine zikizingua wazirekebishe lakini sasa balaa linakuja unaambiwa lipia huduma ukilipa unasubilia risiti anakuchana mtandao uko chini kwa hiyo risiti hamna. Are u serious??
Yaani umetengeneza yangu tatizo hilo hilo lakini yako uwezi kutengeneza au ndio mganga ajigangi? Tunasumbuliwa na hawa TRA ukikutwa hutumii mashine au haina charge ni balaa lakini hawa mashost zenu mnawaachia bure au hamjui ambacho kipo uko kwa hao jamaa zenu.
Karibuni tuchangie wadau hivi inakuwaje kuwaje hapo mtoa service ile ile ambayo wewe unaitaka yeye binafsi hawezi kujifanyia?