ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Anhaaaa ndo maana mimi nikitaka kuzipata hizo nafanyaje mkuuEarphone za htc ni za beat by Dr dree hizi ni ghali lakini kwa kuwa zinazonakuja huku kwetu ni fake ndio maana unapata kwa bei hizo.
Hizo ni za zamani, htc washakwamisha mkataba wao na Monster (Beats) tokea zamani hawa sasa hivi wamenunuliwa na Apple ndio maana ukienda kwenye website ya apple utakuta wanauza bidhaa za Beats by Dre.Earphone za htc ni za beat by Dr dree hizi ni ghali lakini kwa kuwa zinazonakuja huku kwetu ni fake ndio maana unapata kwa bei hizo.