Uliwahi kuwapitia kujitambulisha na/au kuwaalika katika shughuli yako?Hipo hivi,
(I) Jumapili hii niliandaa tafrija nikaalika ndugu na marafiki zangu wa karibu waje kujumuika na mimi kwenye hii nyumba yangu mpya ambayo hipo nje kidogo ya mji wakati tafrija hii ikiendelea nikaona isiwe tabu kufungua mlango hili yeyote
Kiukweli mtu hawezi tu kukurupuka kwenda kwenye tafrija ya watu bila kualikwa, kama ulitaka waje basi nao ungewapa taarifa kama ulivyofanya kwa hao ndugu zako,Hipo hivi,
(I) Jumapili hii niliandaa tafrija nikaalika ndugu na marafiki zangu wa karibu waje kujumuika na mimi kwenye hii nyumba yangu mpya ambayo hipo nje kidogo ya mji wakati tafrija hii ikiendelea nikaona isiwe tabu kufungua mlango hili yeyote atakae taka kujumuika na sisi basi nae akaribie lakini kwa mshangao hakuna aliye kuja kabisa.
(II) Leo narudi zangu mtaani jioni baada ya mizunguko ya hapa na pale nakuta njiani kuna shimo kubwa ambalo kwa haraka nikatambua kuwa Kuna bomba limekatika kwahiyo njia ya kuingilia kwangu haipitiki, hivyo nimelazimika kupaki gari kwenye maegesho ya karibu na kunifanya nitembee kwa mguu mpaka kwangu.
(III) Nimeenda kwa balozi wa nyumba kumi kutoa malalamiko yangu juu ya kufungwa kwa barabara bila ya Mimi kama mkazi wa mtaa huu kupewa taarifa yoyote hile, balozi nae kanipa jibu kuwa atalishughulikia hili swala mpaka saizi yamepita masaa matatu hakuna feedback.
🤣Kumbe wewe ndiye yule jamaa mwenye kipara uliyehamia apa mtaani, nakukumbusha salimia watu mkuu acha madherau.
nlitaka nimuulize pia hilo swali,Hua unatoka kwenye shughuli za kijamii mfn msiba nk
Mimi mgeni huu mtaa sipo kipekeeKama Kuna viumbe jeuri basi ni majirani wenye kipato Cha kawaida au Cha chini. Yaani hata ungepika pilau ungekula mwenyewe maana usipo alikwa unaenda kufanya Nini?
Kuhusu maisha Yako na majirani na uongozi wa mtaa, wewe unaonekana unajiweka daraja la kipekee ndiomaana wamekuacha uishi kivyako.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wala usiwaze mkuu majirani choka mbaya ndivyo huwa walivyo mbaya zaidi kama mungu amekujaalia neema mbalimbaliHipo hivi,
(I) Jumapili hii niliandaa tafrija nikaalika ndugu na marafiki zangu wa karibu waje kujumuika na mimi kwenye hii nyumba yangu mpya ambayo hipo nje kidogo ya mji wakati tafrija hii ikiendelea nikaona isiwe tabu kufungua mlango hili yeyote atakae taka kujumuika na sisi basi nae akaribie lakini kwa mshangao hakuna aliye kuja kabisa.
(II) Leo narudi zangu mtaani jioni baada ya mizunguko ya hapa na pale nakuta njiani kuna shimo kubwa ambalo kwa haraka nikatambua kuwa Kuna bomba limekatika kwahiyo njia ya kuingilia kwangu haipitiki, hivyo nimelazimika kupaki gari kwenye maegesho ya karibu na kunifanya nitembee kwa mguu mpaka kwangu.
(III) Nimeenda kwa balozi wa nyumba kumi kutoa malalamiko yangu juu ya kufungwa kwa barabara bila ya Mimi kama mkazi wa mtaa huu kupewa taarifa yoyote hile, balozi nae kanipa jibu kuwa atalishughulikia hili swala mpaka saizi yamepita masaa matatu hakuna feedback.
Wewe ulishaingia mageti mangapi yaliyoachwa wazi kwenye sherehe za watu usiowajua ?Geti niliacha wazi wao wangekuja tu