Kwanini jina la Apson Mwangonda?

Ccm imeshakufa hakuna wa kuiponyesha !!
 


huyu mzee njaa inamsumbua kwa sasa.shamba lake la kahawa amelitelekeza huko kijijini.mwenye njaa hajui mwiko.tiss wamwongeze posho.
 
Waandishi wanatakiwa kuwa makini na kalamu zao,na kufanya utafiti wa akina kabla ya kuandika kitu na waandike kwa maslahi ya watanzania na sio kwa maslahi yao binafsi
 
1+1=2 lakini! 1x1=1 kwanini......???? GAME THEORY!!!
 
Umwfanya uchambuzi wa maana sana.sana sana.tatizo hatuna viwango.nikukumbushe pia hata Imran Kombe alijishughulisha siasa kabla hajapatwa na yaliyompata
 
mim sioni kama kuna shida mbona wanajeshi wanastaafu wanapewa ukuu wa mkoa na wilaya...... muacheni mzee Apson atumie ujuzi wake.

Hivi mkuu Wa mkoa au wilaya ni mwanasiasa ??? Naomba mnieleweshe
 
Inawezekana kweli yupo kikazi au ana mapenzi ya dhati kwa EL ila tutajua baada ya oktoba....!!!
 
Mzee Apson atarudi kuionyoosha idara endapo UKAWA itaingia Ikulu baada ya 25 October, maana idara hii imepwaya sana.
 

Kiongozi mstaafu wa serikali anapoamua kuwa mwanasisa nje ya chama dola ni kukiuka kiapo, mbona husemi IGP mstaafu alipoamua kugombea ubunge kwa tiketi ya chama dola?
 

Tafakari sasa, mtu anayejua undani wa mtu huyo kuliko hata wewe ujuavyo kuwa mmoja wa watu wanaomuunga mkono huyo uliyelishwa maneno kuwa ni fisadi, Mahakama zipo wazi peleka ushahidi utasikilizwa
 
Apson Mwangonda pengine kwa utashi wa kazi yake anaona palipo pwaya na ndiyo maana amekuwa na msimamo wake imara ili wasipomsikiliza kwa njisi mambo ya hovyo yanavyofanyika ndani ya mfumo wetu wa utawala asije kulaumiwa. Katika kipindi tulichokuwa nacho mambo Mengi yamepwaya mfumo umeingiliwa kwa kila namna watawala wanaujua ukweli lakini wanaufanyia maamuzi kwa mwendo wa Kobe.
Salama yetu kubwa ni injili ya Amani tunayo isujudu daima dawama ndiyo nguzo yetu kuu.

Apson pengine kwa uzalendo na uwelewa wa musuala yanahusu taaluma yake ameamua kusimamia ukweli!
 
Gama= ccm. Mahiga=ccm. Kitine=ccm. Kusila=ccm. Kwa nini Apson awe tatizo? Kiukweli Tanzania tuna waandishi waajabu sana.
 
Hivi mkuu Wa mkoa au wilaya ni mwanasiasa ??? Naomba mnieleweshe
Hizo ni nafasi za kisiasa mkuuu....huwezi kuteuliwa mkuu wa mkoa or wilaya kama sio mwanachama wa chama kinachotawala
 
Kumbe ishu kubwa ni kushangaaa!! Endelea kushangaa.
 
Mwisho wa CCM ni chini ya miezi mitatu Siku zake zahesabika!
 
Mjenga nchi ni mwnanchi na mbomoa nchi ni mwnanchi.

Ni aibu wananchi walio wahi na wenye madaraka makubwa tena Ya kiusalama katka nchi yetu kuwa miongoni mwa wabomoa nchi

Kumpigia kampeni mtu mwenye mapungufu ya kimaadili kama huyo jamaa ni kubomoa nchi tu, hakuna maelezo mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…