J junno Member Joined Sep 5, 2022 Posts 18 Reaction score 19 Feb 2, 2023 #1 Kwanini Jamiiforums haina matangazo kama tunavyoona blogs nyingine zinavyoendeshwa wanagenerate vipi mapato yao wanatumia vipi hawa wafuasi wao kuwa na fedha kwa kupitia matangazo madogomadogo wataalamu kikao kianze.
Kwanini Jamiiforums haina matangazo kama tunavyoona blogs nyingine zinavyoendeshwa wanagenerate vipi mapato yao wanatumia vipi hawa wafuasi wao kuwa na fedha kwa kupitia matangazo madogomadogo wataalamu kikao kianze.
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,556 Reaction score 23,918 Feb 2, 2023 #2 Niliwahi kuwa admin wa scooper. JamiiForums ni Kama platform ya scooper. Number of clicks and readingtime ndiyo hela yenyewe.
Niliwahi kuwa admin wa scooper. JamiiForums ni Kama platform ya scooper. Number of clicks and readingtime ndiyo hela yenyewe.