kwanini jamani wanaume mnafanya hivi???

ni wengi zaidi ya wa 5,na wengine hata sijawavulia nguo kwani nikishaona hiyo drama inaanza huwa nam drop automatically asinipe headache sasa nisije nikawa nafanya hivi mwisho wa siku nikose hata mume wa kunioa ukute ndo tabia iliyopo mi sijui
 

Endelea Kudate WACHINA,WAARABU NA WAPHILIPINO.......----- WEEE MXIUUUUUUUUUU!!!!!!!
 
Endelea Kudate WACHINA,WAARABU NA WAPHILIPINO.......----- WEEE MXIUUUUUUUUUU!!!!!!!
Hahaha mbona umeisema kama una bif na mimi, don't tell me Comment yangu imekugusa kiasi hicho..
Au uko kwenye hilo kundi la nililowataja? think t thru afu ujiambie mwenyewe kama umo au la,
Mwishoni nimesema kua "sijadate 100 girls so siwezi kuongelea kua ni wote" sasa sioni sababu ya wewe kuumia kiasi hicho unless u r in that group ambalo nimelisema, na hiyo ni comparison btn the girls i hv dated, sasa sioni shida hapo, preference yangu hiyo..
Hahaha!! I dn't like Chinese, wala Phillipine girls, wala waarabu, sijui kwa nini hao wamekuijia akilini, inaonekana unawakubali sana dada... Infact nilio-d8 ni tofauti sana na hao... so siwezi nikajudge hao vilevile
 
jamann mi ni mwanamke na wanaonifanyia hivi ni wanaume,,,,,believe me ni wanaume wanafanya hivi
 
thanx technician kwa ushauri wako...nadhani inabidi nifanye hvo kwani ni kweli ukiwa busy anakutafuta na ukimpotezea anakutafuta kweli kweli ila tu hayo mazingira ndo yanani confuse kwann iwe hvo..umenifata ili nikupende au wwe unipende mi nikupotezee hapo ndo mi huwa natafsiri hvo
 
mi ambacho hapo bado napinga ni kwamba muda mwingine hata hujamvulia nguo na anafanya hivo...nikaanza kuhisi mwenyewe kichwani labda wanaume hawapendi kupendwaaa au???yani kama mwanamke akimtafuta sana yeye analoose interest!!

basi kama ni hivyo

yeye akiwa bizy na wewe unakuwa bizy
 
Yaonyesha wanaume anakuwa nao huwa hawamfahamu/kumjua ila akiwakubali tu wanagundua matatizo yake hivyo ndio tatizo la simu linakuja .....
.. nami pia na doubt tatizo linawenza anzia kwake..
 
wanaume wanapenda uwe brief & precise katka mambo yako, sio unapiga simu kila dk au unataka kuongea nusu saa, mnongea nini na mwanume?? , au mnapiga soga za kujenga shule ya kata isiyokwisha ujenzi wake (e.g:madarasa/ vifaa)?? katika simu huwa inakuwa hivi, dk 3 za mambo ya maana na zinazobaki UMBEA, CCM & UPUUZI MTUPU, simu za mara kwa mara au za muda mrefu labda kwa madent/wakusoma ndo wanazipendelea xan ili kuwapiga bakora wenzao 😛lane:.
 
thanx dreso4 hujakosea walaaa,mi naona umeongea facts ambayo ww umekutana nayo amabyo mi naona itanisaidia kujua naishije kama na printend au natural....japo ni ngumu sana kujua kama upo natural au unaigiza labda unaweza kunisaidia nitajuaje kama naishi natural au naigiza kwan sometimes unaweza kujudge mtu anaishi kwa maigizo kumbe ndivyo alivyo na baadae ukagundua ni kweli haigizi ndivo alivo,.
 
Samaki akishavuliwa kutoka majini na kuwekwa nchi kavu, hawezi kuwekewa chambo tena.
 
mi ambacho hapo bado napinga ni kwamba muda mwingine hata hujamvulia nguo na anafanya hivo...nikaanza kuhisi mwenyewe kichwani labda wanaume hawapendi kupendwaaa au???yani kama mwanamke akimtafuta sana yeye analoose interest!!
Labda una pozi nyingi na una-FAKE life sana ndio maana...
 
Saa inatembea kama ina betri mpya so mishe nazo inabidi kukimbizana nazo unamtafuta bibie kwa chaguo lako na mnakubaliana baada ya hapo anataka muendelee kama zamani,plastic life hii!!!

Hivi ukisha change hela bureau huwa unarudi tena au ndo unaenda kutumia fedha uliyohitaji!!!!!


Ukitaka muongee na mwanaume na asikuchoke kuwa industrious kwa mfano una kiwanja unataka akusaidie masuala ya ramani na kibali cha ujenzi hapo utampata all the times(kama kweli ni mwanaume lakini maana kuna old boys under our very same label ya MWANAUME)


Unanipigia simu kuniambia kuna mzigo mpya kwenye boutique na yule mzaire wa nywele karudi so huendi kwenye kucha na fundi wa nguo kakuboa bora ungevaa derah simple halafu huko harusini mi colour combo imetawala na kile kipindi cha wanawake na maendeleo leo utakimiss,unaniuliza niko wapi na nani nimevaaje ma ntarudi home saa ngapi kabla sijajibu unanieleza kesho unapenda nivae ile tie ulonoletea.,aaaaaaaargh yaaaaaani kama redio bovu

Hapo ndio jibu huwa.; Ok
 
nashukuru sana kwa wote mlioweza kunijibu....majibu yote naamini yatanifaa kwa namna moja au nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…