ukweli ni kwamba dawa zipo lakini mpaka kumfikia mngojwa hapo ndo kuna kona kona kibao, watanzania tunaibiana wenyewe kwa wenyewe
mgonjwa anatumia bima kaandikiwa dawa hospitali wanamwambia dawa hamna na kikweli dawa wanakua wanayo mwisho wa siku wanakuandikia fomu ukachukue kwenye famasi binafsi
hawataki kutoa dawa za hospitali wanasema dawa hakuna ili uende kwenye mafamasi yao ukanunue zao,, lakin hopstali dawa zipo nyingi tu!