I am still waiting!
but there is this chick iam planning to date in a near future, i will definately Onja......tired of waiting bana.
Hii kitu bado new kabisa.......i need to use it now!!
Kumbe na wewe ni bachela.au MBA weye?I am still waiting!
but there is this chick iam planning to date in a near future, i will definately Onja......tired of waiting bana.
Hii kitu bado new kabisa.......i need to use it now!!
HEHEHE!we mwanamama weweKumbe na wewe ni bachela.au MBA weye?
some time huwa unafanya very intelligent gueses!!Kumbe na wewe ni bachela.au MBA weye?
kumbe na wewe ni bachela.au mba weye?
kwani watu wakionja huwa hawajui? mi najua sijaonja, hata kwa bahati mbaya!!mseninarist....oooops!!!
umejuaje bado mpya na hujaonja??
some time huwa unafanya very intelligent gueses!!
Bigirita is not in love
JF Senior Expert Member
Dah mpwa bwana. ckuwezi,au unataka kudownload tu?[/QUOTE]
hahahahaaa!! hapana mpwa! unajua masista wakali sana......na kula nje ya banda siwezi. hadi hapo atakapotokea wakunikubali.kilemba kivuliwe.
Ni vipaji vya ukweli sio ze komedi!sikujua kuwa humu ndani namo kuna vipaji kama vile vinavyotafutwa na tv ya channel 5
Join Date: Thu Jul 2009
Location: Church
Posts: 1,993
Thanks: 347
Thanked 856 Times in 583 Posts
Rep Power: 24
Nisijekuwa nafikiri kilemba kiko mbali kumbe kipo hapahapa, mm tu ndo sikioni!
ngoja ni-google.........kanisa gani tena?
Duh! sasa hapo patakuwa pagumu....basi nitakuwa namngoja pale Achimwene bar karibu na NMB Magomeni. kanisa lao si lipo pale mwembe chai??watakatifu wa siku za mwisho heheeeee
wewe ni she au he?Jamani sio wote wanafanya haya mambo kabla ya ndoa. Pia sidhani kama ni sahihi kusema waschana wanaosoma chuo kikuu ni malaya 'is too theoretical" sio reality. Mm ni shahidi na niliweza kusubiri hadi degree ya pili nilipoingia kwenye ndoa. Nadhani KUTOKUMCHA MUNGU KWA MTU BINAFSI kunachangia sana mtu ku-generalize issues na kuhalalisha mambo ambayo si halali. Tukimheshimu Mungu tutajiheshimu na sisis wenyewe na tutasubiri TU.
Duh! sasa hapo patakuwa pagumu....basi nitakuwa namngoja pale Achimwene bar karibu na NMB Magomeni. kanisa lao si lipo pale mwembe chai??
now days msichana mpaka anafika first year chuo anakuwa ashatumiwa sana,may be up to 20+sex partners,na uwenda akawa ameshatoa mimba zaidi ya 3.so lazima utest si unajua ndoa za kikiristo,ukioa tasa utajiju..so lazima utest.
pia mabinti ni malaya sana asa awa wa vyuo...so watu wanaogopa kuoa wenye mabwawa
Mmh wachangiaji wengi hamajatenda haki kabisa..Mmejaa mfumo dume tu..Mbona hamuongelei kwa uapnde wa wanaume,kwani wanaume wao hawaonjwi?
eti best, ulimi na mchuzi kipi kinaonjwa???.......................