KWANINI 'DUSHE' YANGU INANIONGOPEA??

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
277
195
Chei chei!

Leo, kama ilivyo cku zote, nilienda washroom kukojoa, Dushe langu likanambia limeshamaliza kukojoa! Nilipoirudisha ndani ya zipu ndo nikajua kua DUSHE limeniongopea. Kuna tone la mwisho la mkojo ambalo hua linadondokea boxer/suruali yangu kila siku. Sasa kwanini dushe linambie limemaliza wakat likurudi ndani kuna tone lamwisho lazma lidondoke??!

Kwa miaka zaidi ya 20 sasa nimekua nikiuvumilia uongo wa hiki kiungo changu pendwa cha mwili, Dushe! Mpaka nimeamua kuileta kwenu hapa, yamenifika shingoni. Nashindwa kuvaa kadet zangu za khaki ambazo nazpenda kwakua nguo za khaki zinaathiriwa zaid na TONE LA MWISHO la mkojo linalotolewa na Dushe yangu...Myuuuuuu! I hate it kwakweli!

Hivi, nipo pekeangu ninaeongopewa??
FB_IMG_1544567489370.jpeg
 
Hivi, nipo pekeangu ninaeongopewa??View attachment 967422
Dalili za utu uzima. Kacheck level yako ya urine retention.
 
Urine Retention haina shida kwngu, mana naweza ku stand kukaa nao kwa more than 40mins. Taabu ni kwmba, nikishakojoa, najiona nmemaliza, am shaking it, milking it until am satisfied kwamba nothing is to come out anymore, but then...last drop will b sheltered in my pants!
 
wewe una tatizo kama langu dawa ni ndogo tuu nenda hospital utapata dawa... hiyo ni U.ti bubu
 
Urine Retention haina shida kwngu, mana naweza ku stand kukaa nao kwa more than 40mins. Taabu ni kwmba, nikishakojoa, najiona nmemaliza, am shaking it, milking it until am satisfied kwamba nothing is to come out anymore, but then...last drop will b sheltered in my pants!
OK boss. Take the road to a urogililost.
 
Urine Retention haina shida kwngu, mana naweza ku stand kukaa nao kwa more than 40mins. Taabu ni kwmba, nikishakojoa, najiona nmemaliza, am shaking it, milking it until am satisfied kwamba nothing is to come out anymore, but then...last drop will b sheltered in my pants!
OSHA na maji
 
KOJOA UKIWA UMECHUCHUMAA! JE BAADA YA KUMALIZA KUKOJOA HUWA HAUHISI KAMA BADO UNA MKOJO KWENYE KIBOFU?
 
Back
Top Bottom