juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
Sidhani mkuu nafikiri walisuluhishwaSugu aliwaomba msamaha Clouds FM? Ndio leo unanipata taarifa.
mi nashangaa tz yani ukigombana na mwenye chombo eti umegombana na chombo kizima. hili ni tatzo na wala mi naona clouds wanakosea na cku moja itawacost hata kama c kwa sasa. m naona mawingu wanaubaguzi sana ndio mana hata kuwackiliza asa hv cckilizi kbsa mana coni kipya zaidi ya ubaguz tuKwanza Sugu hakuomba msamaha.
Halafu jiulize hao wasaniii unaowasemea kuwa waliomba msamaha na nyimbo zao hazipigwi, je before walikuwa ni hitmaker? Nyimbo zao zilikuwa zinapigwa kiasi gani? Je, sasa hivi wana nyimbo zinazoweza take atention ya watu? Mbona hatuwasikiii ingawa kuna stesheni zingine?;
Watu hawakupi show tu eti sababu uliomba msamaha, je una nguvu y kuvuta mashabiki waje kukuangalia?, music ni biashara piiaa
kwahiyo wewe unakaaga kutwa nzima clouds kungoja mziki wa sugu,jide rama dee????
em nifahamishe hapa karibuni hao wametoa ngoma gani??
halafu kwa jide bado hawajapanga playlist
hivi wasameheane leo ,kesho mziki hewani??? wakati vipindi vinapangwa!!!!
watazipiga tu ,kama wakitoa mpya pia wataweka
Yahaya, joto as it a, ndi ndi ndi zilifanya vzr sana ndani na nje ya nvhi, kwa level aliyofikia jide ni ngumu kumshusha, nyimbo zote zilieika bila clouds, au kuna asiyeukua wimbo was yahaya? Au ndi ndi ndi? C kwrliKatika vitu ambavyo huwa naishangaa clouds fm ni kutopiga nyimbo za wasanii ambao ilishagombana nao huko nyuma.kama mnavojua ile Antivirus volume one na two,kwa kweli clouds walitukanwa sana mle ndani,sikutegemea kama ipo siku wale wasanii wataomba msamaha kwa jinsi walivokunya kwenye zile nyimbo.
Alianza Sugu,aliomba msamaha akasamehewa lakini nyimbo zake hazipigwi clouds na wala hapewi show za clouds,
Wakaja Mapacha,hawa hadi leo nawashangaa sana.waliomba msamaha ,wakasamehewa lakini nyimbo zao hazipigwi clouds na show hawapewi,wanauza tu fulana masikini ya mungu.
Na sasa kaja Jay dee,nae anaomba msamaha kwa ujanjaujanja,nae atasamehewa ila hatapigiwa nyimbo,wasanii wa bongo ni hovyo sana,hawana misimamo kabisa.sasa nawasubiri hawa wafuatao ,nao watasamehewa ila wasahau kupigiwa nyimbo zao.kuna Dani msimamo,Adili hisabati,mkoloni wa wagosi wa kaya,Suma G na Rubby.na huyu Rama dee,nina uhakika kawekewa tego na Ruge.juzi Ruge kasema moja ya wasanii anaopenda nyimbo zake ni Rama Dee.sasa kwa ushamba wa wasanii wa bongo usishangae Rama dee akaomba msamaha kwa sababu tu kasikia nyimbo zinapendwa.atasamehewa ila hatopigiwa ngoma zake.nadhani Ruge anapenda tu kuwachoresha wasani
Antivirus; "cloud fm, redio ya wafuuuu", " Watangazaji wenyewe mashogaa"mi nashangaa tz yani ukigombana na mwenye chombo eti umegombana na chombo kizima. hili ni tatzo na wala mi naona clouds wanakosea na cku moja itawacost hata kama c kwa sasa. m naona mawingu wanaubaguzi sana ndio mana hata kuwackiliza asa hv cckilizi kbsa mana coni kipya zaidi ya ubaguz tu